filmov
tv
#BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAKAMATWA, MAMBOSASA ATHIBITISHA - 'WALITAKA KUCHOMA MAGARI'...
Показать описание
#BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAKAMATWA, MAMBOSASA ATHIBITISHA - "WALITAKA KUCHOMA MAGARI"...
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa tuhuma za kupanga maandamano.
Viongozi wa Chadema wanaowashikilia ni pamoja na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, Godbless Lema, Isaya Mwita (aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam) na Boniface Jacob aliyekuwa Meya wa Ubungo na mgombea ubunge wa Jimbo la Ubungo.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa raia na mali zao kwa kuwa wamepanga kuanza maandamano kitaifa yasiyokuwa na kikomo kuanzia Novemba 2, mwaka huu kwa kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ OUR PLAYLISTS:

Комментарии