🔴#​​BREAKING: MBOWE ATOA HOTUBA NZITO MKUTANO WA BARAZA KUU, AWAWEKA KIPORO HALIMA MDEE na WENZAKE..

preview_player
Показать описание
🔴#​​BREAKING: MBOWE ATOA HOTUBA NZITO MKUTANO WA BARAZA KUU, AWAWEKA KIPORO HALIMA MDEE na WENZAKE..

Baraza kuu la CHADEMA limekutana leo mei 11, 2022 Dar es salaam Kujadili maendeleo ya chama hicho, kilipotoka, kilipo na kinapoelekea, ambapo kiongozi wa baraza hilo ni mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashalla mboe uko.vizur umeinesha uongoz na kwa kweli viongozi wwngi wa chadema wanahitaji kufundwa maana wanapenda kutukana vyma vyengine vya upinzani

msabahaali
Автор

Mbwoe nimwanasiasa Bora mungu akujalie

jacobsevetu
Автор

Mwenyezi mungu akubariki uko vizuri huna kinyongo na mtu.

jumannehassan
Автор

Masha yapo CHADEMA, maisha mapya, nchi mpya, nguvu mpya, mawazo mapya, tunahitaji kutoka CHADEMA

jumakilinja
Автор

Sio wewe mkidai Wati wanapukutika kwa koviki? Hukuunda task force na kuahidi kutoa TAARIFA? Léo unadai COVID haikuathiri NCHi😄😄🤣🤣 mbeke ?

togowelfare
Автор

Chama sherehe kumbini n'a jezi mpyaa lakini ofisi hakuna kimepanga

togowelfare
Автор

Hivi inasaidia Nini kila Siku kusimulia jéla? We uliwahi kujitapa Huwezi Kwenda peke Yako Ikulu Sasa unaenda peke Yako kama Bi harusi.

togowelfare
Автор

Mh.mbowe wasamehe halima mdee na wenzake"kwani hayo ni majembe na ni wapambanaji"chadema bila halima mdee, ester matiko, ester bulaya" kutakuwa hakuna chama")kitafifia

abubakarikisuju
Автор

Hahaha ulikula njoro wakati wa COVID
Huna issue

philoteuslwena
Автор

Kwani BMK si mlipishana HOJA? NYIE mkasusa?

togowelfare
Автор

Chama kikuu Cha Upinzani nchini ni ACT sio CHADEMA.

togowelfare
Автор

Hayo unayodai mlikubaliana yameandikwa? Au MBEKE Zako tu? Hakuna makubaliano yôyote danganya NYUMBU zako

togowelfare
Автор

Mda wa kuwata Vimeo COVID 19 tupa kule mbowe hao wasaliti

mussakimaro
Автор

Mbowe kila siku upo ww waachie wenzio tena

pavillioncry
Автор

Haha ukichaguliwa utakuwa ni walewale
Nimependa sare tuu

fatmarashid
Автор

Mboe pokea tano kwa kufukuza hao covid ni hatari kwa nchi hii wasubiri makufuli arudi na ndugai

ibrahimallymohd
Автор

Vita ya Ukraine mungu kaileta watu wafe Ili dunia ijue udhaifu WA CCM? Si kumtusi mungu? Mbowe Ukiwa n'a mkutano epuka mbeke

togowelfare
Автор

Mbowe wewe ni kiongozi samehe wanao hao songa mbele babaangu tutakuja wengi

meryshekoloa
Автор

Walounga mkono juhudi hawakua na ridhaa ila makufuli alitumia fedha nyingi kuwanunuwa ili aue upizani chama kiko vizuri na jawabu tutapata kwenye chaguzi zitazo kuwa huru na haki utaona marehemu CCM, CCM si chaguo la watanzania fahamu hilo

ibrahimallymohd
Автор

Hakika mbowe ni mwamba was siasa tunataka viongozi Kama Hawa pia nampongeza rais samia sio kama hawa wengine mungu akubariki tutakuunga mkono uchaguzi ujao kwani katiba itakuwa imeondoa vifo kupitia siasa

reubenmobe