KEISHA - UVUMILIVU [ COVER VIDEO OFICIAL LYRICS]

preview_player
Показать описание
🎵 KEISHA - UVUMILIVU
Keisha- uvumilivu cover done by Velvetvoice

Lyrics:
mara ya kwanza Nakuona sikufani
Sikuhisi ungeingia moyoni
Baada ya muda kazi choka burudani
Mpaka home kajitupa kitandani
Uvumulivu umenishinda
baby i love you Sikukuambia
Naamini ulijua
Sometime siwezi kuwacha mpaka Night
Uuuh uh

Uvumilivu umenishinda
baby i love you baby i love
baby i love you
Songea kalibu yangu unipe love
Nipe love nipe-love

Uvumilivu umenishinda
baby i love you baby i love
baby i love you
Songea kalibu yangu unipe love
Nipe love nipe-love

Nakili ya kusema kwamba
baby i love you
nacho hitaji pendo lako la dhati
Ukikubali baby me nitapata raha
Ooh my baby boi
Sishangae kukuambia hisia nilizo nazo
Labda ukaniona kichache
Fikira hizo baby naomba achana nazo

Uvumilivu umenishinda
baby i love you baby i love
baby i love you
Songea kalibu yangu unipe love
Nipe love nipe-love

Hakika wewe niwapekee
Mawazo yako hayakuenda upande

_ End

©For copyright issues,song & demos please contact us or leave us a personal message and we will respond as fast as possible. Thank you!
Email:
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Edits: Arifartslyrics
#justifiedmelody #velvetvoice #uvumilivu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I love a little of how u apreaciate the eastafrican culture in your making

seniorcaregiving
Автор

Wallahi hiyi nyimbo paka sahii
Ni tamu❤️❤️❤️👌👌😘

peninahnishimwe
Автор

mzik pendwa sana ongera dada kazi zako nazifatilia big up more female artist song

schorlypheasant
Автор

Please make me the cover song part2 kindly😍😍😍😍🤩

TrendRepublic
Автор

every time am searching ths channel is like i gat you song lyrics
uvumilivu by keisha this song is a hit of decades.

agriculturalsolutions
Автор

Songea kalibu yangu nipee love nipeee love

TrendRepublic
Автор

Tamu sana. The song is of quality
🎶❤️

Mk-hg
Автор

*Updates!. It's been 2 years with you guys. But, I rebranded My _ channel from Arifartslyrics to justified melody. Am glad you like it. This video is a just but a reminder, no other video has this water mark. You should now try my new hashtag **#justifiedmelody*

JustifiedMelody
Автор

wewe vp kwani wewe ndo upo vizuri weew

swediibrahimuibra
Автор

Good music with rythim enough to make warthog out of hole

elipidtesha
Автор

Correction: Kiss na hug sizipati mpaka night

Not 'Sometimes siwezi kuwacha mpaka night.

elishak.philip
Автор

One hater still ain't cool to vibe 🙄😁

Mk-hg