Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala

preview_player
Показать описание

Комментарии
Автор

Kama unausikiya huu wimbo 2024 gonga like apa.❤

halisihespoirkulondwa
Автор

Kama unausikiliza huu wimbo 2024 na bado aujampata huyo mke kama mimi gonga like.

leaderdanojoro.
Автор

Kama bado unaelewa hii 2024, gonga like tuondokeeee

GUARDCLEVERTV
Автор

Thanks for everybody who like and drop comment about my song
I real appreciate don’t forget I have also Reggae version with Ras Jhikoman
Ras Innocent Galinoma also did his Raggae version and i about to drop
Nimekuchagua Wewe in Zouk style soon

bobrudala
Автор

Anaeamin hii nyimbo haichuji na bd anaskiliza 2020 like yko tafadhal tujijue tupo wangap👍👍👍👍👍

naurathsayd
Автор

We are in 2024 but still enjoying the song it is forever the hit in our ❤️.It deserves 5 🌟

dativamajaliwa
Автор

Unanikumbusha siku ya send off yangu huu unaishi ktk maisha yangu naupenda sana sana, gonga like 2019 still listening

pilikasimu
Автор

Kama unausikiliza huu winbo 2024 gonga like ❤

cookingwithlili
Автор

Kama unaamini kuwa huu windo hautachuja leo hata kesho. Basi mpe like mwimbaji huku ukiendele a kusikilizaa na kusoma comments

samguide
Автор

Hakika mtu akifanya kitu kizuri anastahili kusifiwa ...Bob Rudala mwimbo mzr mno na wala hauchuji ....kila iitwayo leo tunauona mpya!!! ....hongera sn ...Brother. .... Love u 2 ...forever kiongozi....

aminamikidadi
Автор

Kama bado unaiskliza hii nyimbo gonga like twende pamoja, 2020

leticiashaban
Автор

Kama unasikiliza 2020 like hapa twende sawa🤸🤸🤸🤸

jenifasoka
Автор

Who else is listening to this this song on 17/08/2024?

lucasjohnmabanda
Автор

Bongeee la wimbo an umenigusaaa mnooo kama na ww mdau uusikilizae unaukubali wimbo huuu basi unaweza uka weka like yako taratibuuu

emanuelmalanji
Автор

Safi sana baba yetu!!!!
Kama unasikiliza hii uko Burundi basi gonga like 🇧🇮🇧🇮

niyokwizerajean
Автор

Ninapousikiliza huu wimbo naamin ipo cku na mm nitafunga ndoa itakayompendeza Mwenyezi Mungu

pendomassawe
Автор

I always listened to this back in high school 😢, turned out like a fantasy but now in 2024, I hope to actualize and make my vows 😊 so help me Lord ❤

cylinesyokau
Автор

Kama unasikiliza 2019 honga like twende pamoja.

marekanijulius
Автор

Tears never stop rolling down of my cheeks 😥😥 R. I. P My lovely wife

erastojackson
Автор

Kama unaangalia huu wimbo mwaka huu wa 2020 gonga like yako hapa

lilianlaizer