Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naiona kesho yenye ushindi maaaana Mungu ananipeleka mahali napostahili🙌🙌

christaineza
Автор

The worst l am in this moment 😢😢 naomba Mungu anigeuziw kesho yangu iwe ...ya uzuri

nancybogita
Автор

Wangapi mnaangalia nyimbo hii 2025 mbarikiwe kwa jina la yesu

OcranNyomoza
Автор

I remember this song 2020 l work as house manager l cry every day with this song but know l thank God for know am happy

annaotondo
Автор

Naiona Kesho Mimi iliyopangwa na Mungu🙏🙏 Whoever is reading this wacha Mungu akaibariki kesho yakoo🙌🙌
+254🤝❤️

PeterkenyaOfficial
Автор

This song reminds me the challenges I passed through, by then I was form four forsaken by my relatives and friends, I became homeless and no one accepted me when I needed there support. I thank God for the favour I found by uniting me with one of my classmate who took me to their home and her mother treated us equally, finally I passed my exam now am a student of Taita taveta university glory be to God.

benedictotieno-rngq
Автор

Ombi langu kwako Mungu wangu ni unibariki na nyumba mpya🙏

linahgeorge
Автор

love u so much sisiter unanibarik kwa nyimbo zako nataman siku moja nawe kama wew na nataman nikuone

judithfaustine
Автор

Neema ya kumalizia mwaka 2024 karibu sana 2025 Kesho yetu🙏🙏🙏

yuppiesam
Автор

Nani anarudiarudia huu wimbo kama Mimi hapa hadi nakuwa emotional.

lilianowti
Автор

This song reminds me the year 2023 be addimitted at Kenyatta hospital undergoing 3 surgery sheading tears day and night without help being forsaken but God safe me 🙏🙏🙏I'm now very strong and healthy God is great 🙏🙏 naiona kesho yangu

irinenaipanoi
Автор

The darkness is not falling forever the sun will rise again hallelujah, God is working for your tomorrow wapi like ya Martha wapendwa.

nancycheptanui
Автор

Amen 🙏 who is here watching with me in 2025 truth be told God is GREAT 🙏🙏

yvonnejoyce
Автор

Amina. Nyimbo zote za huyu dada zimenibariki sana hata nikiwa na stress sijui la kufanya nasikia sauti ikiniambia kwa upole msikilize martha....wakati mwingine natajiwa kabisa na jina la wimbo. Mara nyingi utasikia "sema nakusikia" wakati mwingine utasikia 'ni lazima ushinde" kwakweli nabarikiwa na dada huyu..❤nakupenda sana dada martha. Mungu akiwa upande wako ni nani anayeweza kusimama kinyume nawe. Soma Warumi 8

elizabethmahenge
Автор

Mama Umeimba Nyimbo nzuri Sana Inanifanya nisikate Tamaa Katika Maisha Mungu Akupe Moyo mziri kwa kila mtu

iddyomary
Автор

Huu wimbo unitia nguvu Sana.Mungu m mbele siku zote.

duncanmghalu
Автор

May my tomorrow be beautiful, am blessed

moderatorempress
Автор

I shall graduate next year, in Jesus name 🙏

annabellemumbi
Автор

I love the song so much, I used to listen to it at night while on duty as a watchman, Ione day I made a prayer that God give me a new job, today I am a supervisor at a real estate

DavidTalanga
Автор

I am a Nigerian, I do not understand what the song says but I align my soul and body with it. God is the greatest.

Noblynie
join shbcf.ru