Jamila Dotto - Mungu Amefanya Tena (Official Video)

preview_player
Показать описание
Karibu uweze kutazama Video ya Wimbo wa "MUNGU AMEFANYA TENA" by Jamila Dotto. Yapo Mengi Mungu anatufanyia na Kututendea kwa namna tofauti na yote hayo ni Baraka na Neema zake kwetu wanadamu tunapaswa kumrudishia Shukrani.

Video Directed by: Scope
Under New Era Films

Usisahau ku Subscribe Channel yangu na Kushare Baraka hii na wengine. Ahsante!

#MunguAmefanyaTena #JamilaDotto
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

wakenya hoyeee, 😊😊😊😊😊 wenye tulikuwa tunangoja hii video ya dada yetu tulike hapa👍👍tukisubiri kufunga mwaka

stevenangwenyi
Автор

Mwaka 2025 Mungu akafanye na kwako unaesoma hii comment

Barakagabriel
Автор

Kawimbo kazury saan tumpe like zake Madamu Jamila DOTTO.❤❤🎉

BarakaBakenyaofficial
Автор

Duh MUNGU atusaidie sana, nyimbo zimekuwa na ujumbe mmoja, kila anayetoa ujumbe ni ulele, hamna nyimbo za kukemea Dhambi wala kuonya inaumiza sana.

protas_butemi
Автор

Kama unapenda hii nyimbo Gonga like Yako hapaa! Hongera saana Jamila Kwa Wimbo mzury Mungu Akuinue Katika viwango zaidi uwe juu!

BarakaBakenyaofficial
Автор

Huu wimbo umenibadilisha nafsini na moyoni mwangu. Mungu afanye

SimonGuyashi
Автор

Hongera sana kazi nzuri Mungu aendelee kukutumia 🙏

AvelinaElphace-ex
Автор

RAHA ZA DUNIA NI TAMU SANA NA MALI ZAKE HUPOTOSHA NA KUMPOFUSHA MWANADAM RAKINI YESU ANATUITA KWA UPOLE TUMRUDIE

ChrisGoe-et
Автор

Mungu awalinde kabisa Huwa nikisikia nyimbozeno nafalijikà

roycefilm
Автор

Niliskia hii nyimbo kwa mtoto wa 2 years akiimba na nikatafuta hii nyimbo, Asante Yesu umetenda tena tukaona 2025

adhiambootiang
Автор

Hallelujah 🔊🔊🔊🔊🔊🔊 Mungu amefanya tena, kati ya waliokumbukwa, na mimi, amenikumbuka tena

rosaliembarikiwa
Автор

Amazing 2025 on my playlist thank you God

clintonmiller
Автор

Nice song,
Mungu nifanyie na mimi mwaka huu wa 2025

irinejoel
Автор

I can't hold back, Best gospel to usher in New Year.

alarapascal
Автор

Waliotoka TikTok gonga like Yako hapa tujuane 👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖nifollow, na mm jaman nimeachia kawimbo kapya subscribe channel yang.

BarakaBakenyaofficial
Автор

Mungu azidi kufanya Tena natena wimbo umenibaliki Sana mungu akubaliki

FrolaJovith
Автор

Hey. Loved you. ...

Nimeskia nyimbo yako kwa daladala nika ushazam ... hongera kwa kazi nzuri. Hongera kwa kumtumikia MUNGU.
KRISTO AKUONGOZE ZAIDI.

Mr.Tingatinga
Автор

Kutoka Kenya 🇰🇪, Twakupenda @Jamila ❤❤

eunitahobegi
Автор

Mungu amenya tena, ni wimbo wangu wa mwaka, imenigusa sana maisha yangu! MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI!

juliusanyango
Автор

Mmh sio kwa vibe hilii ila hatari ipo kwa watu wa Mungu halafu hakuna kishituka .

Mwadawa-xq