Saida KaroIi -Magenyi (Official Video)

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tanzania nzuri, full bata! (Having good time). Gonga like kama unamkubali huyu Mama Yetu anawakilisha East Africa.

sinzasoundbandtanzania
Автор

Tuna maliza 224 karibu 225 tume barikiwa. Tanzania mama ludi kwa vijana endereza kazi

RashmaAbdulla
Автор

Mine andika kitabu cha sifa za mwalinu nyerere nitakuja Tanzania mki one.

PrudenceNgarambe
Автор

Wahaya wote oooye utamaduni wetu huu❤❤ ❤❤ ❤❤

PudensianaMathias
Автор

Napenda nyimbo zako Mimi mkimbizi kutoka Rwanda lakini sasa naishi USA napenda wahaya na wanyambo nawa Tanzania wote

PrudenceNgarambe
Автор

Yaan me ni mtu wa mara nimesoma Uganda najikuta napenda nyimbo za kihaya am a haya Jaman 😅😅❤❤

eddasamwely
Автор

dunia itakaa sana kabla iwahi kutokea mwingine mwenye sauti kama hiii.. aki walahi...ur voice.... ur voice... it is a blessing

prof.oduoroduor
Автор

Mwakola muno, chonka nimpulila aliyo oluimbo ndwetwa omwana mwana nkantaulubonasi!!

eliethkwesigabo
Автор

Love from Kenya..How I wish Saida can do Swahili songs so that we can understand her messages...❤❤

increaseTv
Автор

Saida karoli I like yo music style though I don't understand the language, u are the great musicians who represent African, may the Almighty grants u knowledge so that u can go up with yo music,

brightchangwe
Автор

Huu wimbo utafanya nifike Bukoba. 🇹🇿🇰🇪💙

felixmakinda
Автор

Aki sisi wana wa 254 twakusherehekea sanaa Wapi likes za wakenyaa?

masekete
Автор

Naskia hila sielewe . Ubarikiwe Sana na style zako za kipekee saida

mamaafrica
Автор

Wakora munonga saida! Omukama katoka akwebembele boojo!!!!

lovegodwine
Автор

Hongera sana mama yangu kwa kanyimbo kazuriiii

dr.gregorynganamba
Автор

Usiependa unawivu. Kanyanyua kijiji nan kasiki Jane na shemej😂😂😂😂😂😂😂 wahaya siwaoni gonga like km unamkubali Queen traditional singer

gloryjane
Автор

Tanzania oyeeee mama Bado tuna kuitaji

RashmaAbdulla
Автор

Watuletela omunywani ❤❤❤❤much love Uganda your language sounds like my language ❤❤😊haliyo obugenyi❤❤

BlessingsSarahAbwooli
Автор

Yan kila wimbo wako naupenda sana, saf sana dadaa

joanithawillingtone
Автор

Saida karudi uwanjani..karibu sana mama twakupenda na twapenda mizuki wako...😘😘😘😘😘😘

lillianalillie