Saida Karoli - Omulilo ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
Saida Karoli - Omulilo ( Official Music Video )
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Chuma Huliwa Na Kutu, Cha Mtu Huliwa Na Mtu! Best line🤩

Richard_Range
Автор

nilivomaliza kutazama interview yako na zamaradi ndio nimekuja hapa, nyimbo nzuri sana

rebecaanania
Автор

Please Saida si tunaeza kufanya collabo, alafu nko late but nmefika please likes naomba

ClintonChisiangani-umlx
Автор

Old is gold aisee.Mama TZ unatesa sana hadi APA Kenya.wapi likes za wakenya aisee!!

poncysulu
Автор

I love Tanzania zaidi bukoba na karagwe. Ndipo nilikulia

PrudenceNgarambe
Автор

I like the message Chuma huliwa na kutu na cha mtu huliwa na mtu big up the legend

vincentmudasia
Автор

Dah mi mwenyewe kawimbo nimekapenda japo maneno mengne siyasikiii umetisha adi mgabe anakusifia

khamismasamki
Автор

Kila mkoa nilazima msanii mmoja wa Asilia atambulike kama kigoma aimbavyo linex nasisi wabhukobha saida ni fahali yetu love you saida

muamallgadaff
Автор

jamani huyu mama anazingua hazeeki!! sio kwa sauti hii love you saidaaaa

evcloudjuma
Автор

Ni kweli kuna marafiki ni vinyonga hivyo chunga sana.Hongera dada Saida

deogratiasrugangila
Автор

welcome kwa game tena najua hukoseagi mama saida, Kali sana ngoma zako kama umeikubali gonga like twende sambamba

goodluckolesolomon
Автор

Kiukweli dada saida uko vizuri, mungu akutangulie kwakazi nzur unayoifanya, , omukama akwine otatinai.

honoratusbenjamin
Автор

Wimbo mzuri Sanaa. Hii inatokeaga kweli.

kishakisha
Автор

She is back. The queen is BACK! Go Saida Karoli. Go Saida

muemadennis
Автор

Omuliro bojo .omuliro kuruga mukanwa kange
Saida u the best African maama

isaacisingomaamooti
Автор

Dada nyimbo bomba xna kazi nzuli kazi nzuli saida%%%%

tizzomsafi
Автор

video na wimbo vimekaa sawasawa.. Omulilo :) ntarudi kutizama tena

kavishe
Автор

Ma saida masibootaige !! Boojo akaimbo karungi muno, chwena nitukashemelelwa muno munonga!

joramkasente
Автор

Nakupenda dada angu wewe unaweza sanaa komaa sana dada hakuna wakukufuata kwa sauti afrika dada uko vizuri, nimi shamiru swalehe wa bulembo kyaka kwa bi zena.

shamiruswalehe
Автор

Nyimbo nzuri sana mungu aendelee kukusimia mama kwa ujio wako mpya

neemamasolwa