Saida Karoli - Kabaka

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Long live Ssabasajja Kabaka wa Buganda. Kyetagisa Kabaka wa Buganda asiime Saida karoli olwoluyimba luno

DavidMukuye-xmqv
Автор

My best of all time. Ninkwenda mno mawe.Mapenzi yangu sugu kwa Saida na aina spesheli ya utunzi yake asili ya tamaduni.Nampa yangu alisimia 100 kama shabiki sugu toka Kenya.

jamesotieno
Автор

Saida wewe ni Sweet voice of 🇹🇿🇰🇪🇨🇩🇺🇬, sema tuu basi kwasababu watu hupenda kusifiaa ukifaa, ila Mimi acha nikusifiee ukiwahaii, Wewe Saida unajuaa kuimba na kupangiliaa muziki, Usiachee kuimbaa hata kama hupati kikubwaa ipo siku ukitanguliaa mbele ya haki watakuja faidi kizazichako utunzii wako, Haki Mungu akuweke atakavyoo 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🔥

jobuumwambelo
Автор

6yrs later I approve this song🎉❤❤❤ 🇺🇬🇺🇬to the world..love frm 🇰🇪🇰🇪

sammyreyez
Автор

Ongera sana Saida Karoli kwa kuendelea kutangaza Tanzania nje ya nchi

livinusmugisha
Автор

This song is something else. Much love from Kenya

AlanstoneMbego-jxus
Автор

Wimbo huu waninguza pahali nasikia kwkw weee saida🎉🎉

Shedrackmaundutoto
Автор

I love this song, saida nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤

joyrobbinz
Автор

Unaweza shindwa furaia ukaanza kulia2 we dada angu mapenz yang niyaweke wapi ila unaflaisha mpaka unaumiza mwenyez mungu yaan mungu akulinde sanaaaa2 unanikumbusha mbali.

LeonidasAugustine
Автор

I like the "ohooo oohoo" part of it. So amazing.

dannykasungulu
Автор

This lady will never dissapoint, east african legend.she should be made east african unity ambassador, she unites us more than our leaders do

lewiswaocs
Автор

Mungu akubariki dada yetu kwa kuitangaza nchi yetu ya tanzania ktk dunia ya musiki waoooo!!!! Saida kaloli

jemedarikalimasi
Автор

Nimeipenda sana wimbo pamoja na sauti yako asilia isiyobadirika hata uwimbe kizungu kazi nzur

majidsuleiman
Автор

Saida karoli

My peers do call me Saida Karoli because my official name is Caroly Moses. Even though saida is a girlish name, I've never felt ashamed of it because you have raised the bars so high. You are a legend

Mose_the_great
Автор

Saída karoli toca as melhores musicas Parabéns ❤❤❤ !

zepracordeirooficial
Автор

Yaani huyu mama anaimba jamani, nakupenda sana Saida Mungu akuongezee kipaji chako

jecarushu
Автор

She has made me cry she showed luv to us bambi mukazi watu tamanyi nabyatula

franklinhad
Автор

Thanks our dia sister from neighbor TZ to sing for our loved King of Buganda kingdom

massojoseph
Автор

Nampenda mummy sana she never disappoint, always amazing and beautiful queen in Uganda, kuja kabarnet unitembelee

WinnieJelimo-pp
Автор

Wow on the best East African sweet voice 😊😊😊 much love from Kenya 🥰🥰

vickychelangat