Alikiba - Infidèle (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Music by Alikiba performing Infidèle (Official Release).
Written & Performed by: Alikiba
Audio Produced By Yogo Beats

Listen to Alikiba on:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

Get More Song by Alikiba

#Alikiba #Infidèle
©2021 Ziiki & Kings Music Records.All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sijawahi pata likes 100 za King Kiba once again ladies and Gentmen 🔥🔥🔥

MichaelMwakibolwa
Автор

Mm wakwanza naombeni like ata 100 tu kwa king zinatosha wadau

badrumegajunior
Автор

Mungu aliskia Julio chetu Jamani Ali has been overworking Song after song this the Ali we love ♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

princenewton
Автор

🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥 hili song la viwango, ,,🔥🔥🔥🔥 like kumi zinatosha Kama really fans wa King

kellynyavanga
Автор

Sasa lete nyingine ya kuhusu maisha kama ile yamakimuga sawa ilo niombilangu king kiba 👏👏👏👏👏👏👍👍👍

davidmkwawi
Автор

*Nilingoja kwa hamu sana....Salute King Kiba Yeah Baba.*🇰🇪

EyazMusic
Автор

Sijawahi ata kupata like 5 naomba like zenu nimekaa niko nasikiya mziki mtamu😍😍😍💃💃💃💃

adidjakhalfani
Автор

Ngoja tuombe uzima tuendelee kupata burudani ya kiwango cha juu toka kwa King kiba... Unatujulia sana... INFIDELE is more than a song

carencollin
Автор

Asiyemjua kings kiba namhurumia sana💥💥💥💥💥💥💥💥

حميدزهران-زح
Автор

From Mz🇲🇿 ngoma ni kali sana kwa waelevu👏🏻makofi kwako king kiba tunaona sikuizi tunaenda na 1baada ya nyengine.

alymuamedya
Автор

baba zipo wp like za King of Bongo flavor

princehalawa_official
Автор

Waooow this King 👑 Kiba sasa mwenye weye toujour on Top
Kama una mkubali King KiBa ngonga like

agogolafitness
Автор

Wa nne ku comment naomba follows na likes twende Mfalme amenena

donbrighter
Автор

The King of bongo flavour #kingkiba 👏🏼🙌🏼🙌🏼👍🏻👏🏼

matthiasrekembr
Автор

Waooow I was waiting for this hit song😊😊

papaastudios
Автор

Ally kiba mwenye sauti ya dhahabu lov from Uk 🇬🇧 nipeni like zangu ✌️

omarkitwana
Автор

We ni msanii wangu bora siku zote kama alivyo mwanafa kwenye rap, hamjawahi kuniangusha

managermipango
Автор

Ali kiba hitting the airwaves like he should be doing always.
His voice will make you fall in love a million ways

djgolden
Автор

Goat is back again naomba likes hata kumi tu jamani si kwa furaha niliyonayo guyz😆😆😆

harringtonnyeriyo
Автор

Daaah asee timu kiba ni motooo mbona kali ad unatabasamu tyu mzee baba anaimba french ka mtoto anavoita mama I'm in love already king weka tyu video c huku

mamiimichael