Alikiba - Infidèle (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Watch now Music Video by AliKiba performing Infidèle (Official Release).The Music Video was shot in South Africa, Directed & produced by Edible Elevens. This song is a Collaborative Project Between Kings Music Records and Ziiki Media.

Download,Stream & BUY in All Digital Platforms!

Listen to Alikiba on:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

Get More Song by Alikiba

#Alikiba #Infidèle
©2021 Ziiki & Kings Music Records.All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwanamziki ambae anafanya mziki wake mzur bila kuwa na hofu, , ( mziki mtam bila kupelekeshwa)) love to u king kiba from dom town . ( nafaham wapo wasiolala usiku kwa shida walizo nazo na kutamba ) tena wanajisho, steg mafundo, wachafu wa roho )

simmedia.
Автор

Alikiba nakukubali unajitambua huna Mambo mengi more respect you alikiba 🙏🙏🙏🙏💪🙈 you

Mm ni shabiki ako damu damu.

Tusiishi kizembe Bora uendee🤣🤣
Kama unamkubali alikiba gonga like.

You're music never die

mateyigimatz
Автор

GOOOD AMBAO BADO TUNAANGALIA MWAKA2024 TUJUANE

ShadrackMchina
Автор

Wa2 wanafiki sana
Ngoma kali ngoma kali bado no 1 haifiki tu tumfikishe mwamba huyu moja jamn ngoma kali sana hii
Sijutii kumsapot king kiba

princessemmy
Автор

Kilasiku nachelewa love you so much king kiba utabaki kuwa king nipo dubai nasikiliza mziki mnono jamani nataka like kama 5 ivi

aishaomer
Автор

Kumbe king anajua kuongea kifarasa ww ni atali sana wengine kaz kuimba nyimbo za kufanana kilasiku wameshindwa kubuni vyakufanya!!!! Nakukubali king kiba from kigoma kasulu

paulmichael
Автор

The only Tz musician who is dedicated to his job bila kutafuta going king🤴 👑

obirinaom
Автор

Watching from kenya, 🇰🇪, , , , #my favourite artist wapi likes zake.... Gonga tukiendagaa

trizeranindo
Автор

Ngoja niseme jambo... KIUKWELI KABISA... Bila Alikiba tungekuwa tunalishwa muziki matango pori... Huyu jamaa ni chumvi kwenye MBOGA... Akiwa kimya huyu unaona kabisa kuna kitu kinakosekana katika Sikio lako... Kuna wakati masikio yetu hayataki kelele yanataka utulivu na hisia.. Ni Ali mwenye huu uwezo wa ku stick kwenye mstari wake bila kufuata mkumbo.. Anajiamini sana huyu mwamba na anaweza aise... Hii sauti ni tunu kwa taifa.. Big up king 👑 endelea kutupa burudani 🤴

kirenenkochristopher
Автор

Nakumbuka zile enzi za naksh mrembo..then He grown to this..Kiba is an icon💥

ryaen
Автор

Bora uweeendeeee penda Sana naomba ieende 1 on trend Everytime nachek sichoki

leilajuma
Автор

Ukijua kutenganisha maana ya kipaji na mafanikio, this guy is so talented. Blessed your mother who gave birth to you

jamesmasanyiwa
Автор

Kumbe Ni liar, Unaweza niacha mi niuliwee na mabwana zako,
Bora nikuache wende, nami niendee, nisiishi kizembe,
Niache mawengee, ,
Bora uende, Nami niende e,
Nisiishi kizembe,
Niache mawengee,

Huu ndo mziki Bwana
Kila ninapo usikiliza nazidi
Kuupenda,

rahmarajab
Автор

Alitudia ngoma zaidi ya mara tano, gonga twende sawa

hustlertv
Автор

Unstoppable... He's been working hard lately....hit after hit #kingforever

icontranity
Автор

Alikibas songs hit a different nerve, ,, moreso to me who thinks i gave up on love, ,Wapi likes za Ali.K hapa, ,much love from 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪

stephenmacheohamisi
Автор

Hiyo sauti is from another It is killing us.

kloppmaniaynwa
Автор

Msanii wangu bora kbs wa mda ote. 2033 remember these is our best song for 2021

boniphacejoseph
Автор

Eighteen years in the game sio kitotoooo tena bila kuchujaaa.heshima kwako dogo

adamally
Автор

King frever u mke m so proud wallah duuuu nafrahi sanaaa cos unajua nini tna tka fns namba 1 ktoka 🇳🇦 Beka

bakarykarekezi