Harmonize - Nishachoka (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Available In All Digital Platforms

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #Nishachoka #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ngoma kwangu haichujag kwasababu ni muhanga wa hili tukiooo...2024

simonpetro
Автор

I can't get tired of watching/ listening to this song. Harmonize apewe maua yake buana, it's now 2024

Mbarack-bnfr
Автор

Bro napenda hiinyimbo .konde Waimba vizuri sana

DamarisDuuTausi
Автор

Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏🙏❤️❤️

ramaahke
Автор

Kama wafikiria umechoka na story za EX wako..piga like hapa..big up harmonise

paulke
Автор

2024 like kma umekuja KUCHEK Tena hii ngoma

kwilasajunior
Автор

this song always remind me nikiambiwa nitoke kwake ashapata mke niende na mtoi wangu kiwete ..hii song ningeskia then hasira itoke ..but nobody can predict tomorrow now life is good with me nilichoka nikatoka 4years ago

ابواحمد-رت
Автор

Wangapi wanaskiliza 2024 baada ya kuchoshwa na

KhadijaMwenda
Автор

Duh kweli mwanangu moto umeuanzia mbali sana ila Kwa hii Ngoma inauhalisia mkubwa honers Kwa kazi nzuri kaka

frankmichaeljackson
Автор

2020 tunagonga like fully appreciating u konde

emanuelsilemu
Автор

Sio kama siwezi kupata aliye zaidi ya wewe💥💥💥💥💥💥

odoshhez
Автор

Kama umemkumbuka demu wako fulani ambaye alikusumbuaga ukachoka na kuachana na yeye unaposkia huu wimbo bonyeza like twende sote.

fredrickomondi
Автор

Sijui waanzaje kukosea my kaka honger

sharmelasaif
Автор

2024 bado naskiliza nyimbo yangu pendwa ❤😂😂

salmabilal
Автор

254 Mpo ???? I have the register hapa ndaani ... Meanwhile peace # nawpenda wakenya wenzangu

abdikadiradan
Автор

Gai I wish too much for hamoniz aki he is the best hata wimbo ya Zuwena ndio moto 🔥💯🔥💯🔥💯🔥💯

hadija
Автор

2023 here listening this
In marriage... honestly nishatoka 💔
Sio kama siwezi aliye zaidi ya wewe

TheSollhos-
Автор

its 2023 and I still can't get enough of his old songs Reminiscing indeed +254💯

felixamollo
Автор

Kama umeikubali ngomaa hii usipite bila kulike nione kama nawewe umeipenda kama mimi

kedmonoscar
Автор

marefu na mapana huaga hakikosi mwisho, uamuzi wa dhati ulishachukua hongera sana sasa maisha yaendelee kaka, ujumbe upo, kazi nzuri 😘😘😘😘

mcoyoojakasipul