Rayvanny X Harmonize - Sensema (Lyrics)

preview_player
Показать описание
Rayvanny x Harmonize - Sensema (Lyrics)

Tags;
Rayvanny ft harmonize
Sensema rayvanny
Sensema rayvanny ft harmonize
Rayvanny ft harmonize lyrics
Harmonize sensema
Sensema harmonize
Sensema harmonize lyrics
Rayvanny sensema lyrics
Rayvanny sensema
Sensema lyrics
Harmonize ft Rayvanny
Harmonize ft Rayvanny lyrics

(Lyrics)

Ayeee iyaa yayee yayaaa
Ayeee iyaa yayee yayaaa
Yao yao
Ayeee iyaa yayee yayaaa
Chuiii!
Ayeee iyaa yayee yayaaa

Konde boy call me number 1!

Sensema malunde
Sensema sensema
Ok
Sensema malunde
Sensema sensema

Sensema malunde
Sensema sensema
Sensema malunde
Sensema sensema

We DJ
Ongeza sauti kudadeki
Nikona shemeji yako
Nyuma kama pickup imerigwajeki
Ya ni we DJ

Ongeza sauti kudadeki
Afu tuzimie taa
Tushike viuno vyenye sketi
Hakunaga mwaisa mshamba
Hakunaga mwaisa mshamba
Kazi kazi macho kwa mikwanja
Kazi kazi macho kwa mikwanja

Bwana asifiwe
Ameen
Milele na milele
Ameen
Shetani akipita
Teke teke teke kule!

Bwana asifiwe
Ameen
Milele na milele
Ameen
Shetani akipita
Teke teke teke kule!

Ukipendwa safi
Ukiachwa mbaya iyoo!
Ukipata noti safi
Ukifilisika mbaya iyoo!

Na mikopo safi
Ila kulipa mbaya iyoo!
Eeeh kuchiti safi
Ukifumaniwa mbaya iyoo!

Sensema malunde
Sensema sensema
Ok
Sensema malunde
Sensema sensema

Sensema malunde
Sensema sensema
Yao yao
Sensema malunde
Sensema sensema

Konde boy call me number 1!

Sensema malunde
Sensema sensema
Bomboclaat!
Oh, my gosh!
Mbona kamandani hapatoshi
Mitungi changanya mimoshi
Konde! Kadondoka na posh
Hamjasema mraka mseme
Namtamsemaaa!
Hamjasema mraka mseme
Namtamsemaaa!

Bwana asifiwe
Ameen
Milele na milele
Ameen
Ex akipitaa!
Teke teke teke kule!

Bwana asifiwe
Ameen
Milele na milele
Mange kimambi akipita
Teke teke teke kule!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mbaya kinoma we nimeipenda ✌✌✌😋yaani mwaka huu mpaka waseme

Antoniogruzman
Автор

How to remove copyright claim to a video

Iamngigo