Scrub Ya Kutoa Makovu Ya Chunusi Usoni Na Vitundu usoni( pores) na ngozi kuwa laini na Nyororo!

preview_player
Показать описание
Video ya maji ya mchele njinsi ya kuyatengeneza

Unaweza kunipata kwa

Instagram:bariki.k
Facebook:bariki karoli

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana dia ubarikiwe kama jina lako

maryfoodproducts
Автор

Am just here because of your swahili nimekipenda mm najaribu lakini inanipea shida iyo swahili tamu lol much love from Kenya 🇰🇪

magzakky
Автор

Thanks love... Kwakwel nmejfunza mm ngoz yngu inaweus na vitundu chin yamacho (mashavu ) ... Jee nikifanya hivo itanisaidia maana nmetumia vtu ving Kama kiaz, tango nk but akuna mafankio

bintmuhammed..
Автор

Daa. Nakukubali sana dd bariki. Nakuelewa sana ubarikiwe sana

ZezeZeze-ibpu
Автор

Hiyo scrub ni nzuri sana ya asali na coffee ina lainisha sana uso

queenbibisha
Автор

Shukran sana dada bariki😍😍😍barikiwa sana

mariammussa
Автор

Asante mpenzi ila scrub ya manjano naomba irudiye maana cjaielewa

catherinejullu
Автор

Je naweza tumia maziwa ya Unga au fresh km nikikosa mtindi au hiyo yogati au

saumuimeda
Автор

Ukiwa na weusi chini ya macho na mabaka usoni ya allergy kati ya hizo njia ulizotuonyesha naeza tumia Ipi??

elizabethkatikiro
Автор

Mimi nimgeni ila nimekupenda na tips zako

rossamengo
Автор

Asante sana dada barik hiyo scabu unaweza itumia mwil mzma?

mamaesmamaesineti
Автор

Asante Bariki, Naweza tumia kahawa ya dukani ile ya kwenye vikopo??

clemenciakagoma
Автор

Dia je unaweza tumia hyo scrub na ile ya manjano na mtindi ukamix pamoja

maryfoodproducts
Автор

Hahaaha eti tutakuchamba turushie bwana, asante Sanaa dear kwa somo zuri my dear

successr
Автор

Asante kwaku share my dear.ndayi pima😍❤

Itsangylifestyle
Автор

asante...dada mi nina tatizo chini ya makalio kuna vipele vinanitoka alafu vinaacha makovu meusi sana naomba msaada dada

rosemillanzi
Автор

Je ukishatumia scrub baada ya hapo unaweza paka mafuta yeyote unayotumia au kuna mafuta unatakiwa kutumia?

winifridadominick
Автор

Nice video dear thank you for sharing. Can I use this every day?

TashneeMavee
Автор

Asant mpnz... But ntaijuaje Asali OG maana nikipaka asali zakawaida natokea upele uson yan inaniharbu sana

peninaoyema
Автор

My dia mambo .Mimi nina vinyama vyeusi usoni na shingoni. Nitumie nini

annaernest