Kuondoa chunusi na makovu usoni na kuipa nuru ngozi yako kwa wiki moja tu

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Please usisahau kusubscribe kwenye channel yangu, nawapenda ❤️

itswinnie
Автор

Asante wa jna wang Winnie ngoja njaribu

WinifridaBenedicto
Автор

Wow nimetumia na nimekuwa sawa chunusi hakun Tena sant

roshmybeiby
Автор

Ngonja nijarib maana USO Wang ni wamafuta chunus haziishi had nimechoka

anethsemakula
Автор

Asante pi a nitumie mafuta gani ambaye yatafany uso uwe vzr

DesderiaNdimbo
Автор

Yaaan hizi chunusi jaman AAA zinatesa ok asante ngoja nijaribu nataman au Ata nipate mafuta au Ambao yanasaidia kwauso duuu usowangu chunusi kama mama namtoto jaman mmm

smartndaipa
Автор

Maasha allah mungu akupe mema kwakweli

marwamuhammad
Автор

Kama umekosa limao hata ndimu c inafaa

khadijaibrahim
Автор

Nafanya kila siku au mara moja kwa wiki

venosamaro
Автор

Je ukipaka halafu ukapaka povu la sabuni ukalala kuna ubaya

rosenaafya
Автор

Baada ya kunawa nipake mafuta gan au nisipake chochot

CatherineSafari-dc
Автор

Ukihitaji kunawa wanawia maji yavugu vugu au yabaridi2

marwamuhammad