MAMBO YOTE UNAYOHITAJI KUFAHAMU KUHUSU UWEKEZAJI NA UTT-AMIS

preview_player
Показать описание
Je, umeshawahi kuwaza kuwekeza fedha zako? Unafahamu ni wapi pa kuwekeza ? Faida ya kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji ni ipi? Afisa Masoko na Uhusiano kutoka Taasisi ya Uwekezaji Tanzania UTT Amis Rahim Mwanga anaeleza kwa kina kuhusu uwekezaji wa fedha kupitia mifuko ya pamoja ambayo unaweza kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha pesa ulichonacho. Fuatilia #darasalauwekezaji
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kwa maoni yangu hajatokea mtu anayetoa maelezo kwa ufanisi na kwa kiswahili fasaha bila kuchanganya lugha kama wewe. Mtu yeyote ataelewa tu. Asante sana.

edwardmunanilaedward
Автор

Aina ya mifuko ya uwekezaji anaanza kuelezea 15:16

belleronald
Автор

Nashauri muwe na utaratibu wa kutembelea taasisi mbalimbali kutoa Elimu hii, kwani watu hawana taarifa sahihi juu ya taasisi hii mtapata wateja wengi sana na ushindani ni mkubwa hivyo nina mashaka pia na baadhi ya Mawakala wenu, hawautangazi huu mfuko inavyotakiwa

Tonga
Автор

Ahsante kwa wasilisho maridadi utulivu mkubwa katika kuelimisha Hongera sana muwasilishaji nimekuelewa

yudatadedaniel
Автор

Yaani umeelezea vizuri sana hata ambaye hajaenda shule ataelewa. Asante sana UTT AMIS watanzania wanahitaji ufafanuzi rahisi na unaoeleweka kama huu bila kuficha ficha elimu. Big up sana. Mimi nipo nanyi UTT

editatairo
Автор

Asante nmeelewa jaman umenyooka ndugu kiswahili sanifu kabisa👏👏

JanethKyamba
Автор

Unajua sana kutoa elimu hongera nimeelewa sana.

tulamuonaalamagata
Автор

Asante kaka angu mwenyezimungu akupe umri mrefu AMIIIN

paulinacherement
Автор

Nimeelewa vizuri sana kwa kweli, nimekuwa nikiisikia hii taasisi ila sikuwa napata maelezo mazuri kama hivi

Tonga
Автор

Mimi naona hii ni nzuri
Sana kwa kumunua mtuu wachini

MajaliwaKassim-sm
Автор

Wanachuo wasiogope this chance kwani ni nzuri mnooo kwa sisi #futurebillionaires

asrtechmedia
Автор

Asante kwa maelezo mazuri
Nimeelewa sana
Barikiwa

mwanakombotwalibu
Автор

Pale Arusha customer care haipo sawa wana jibu kama vile hawataki uingie kwenye uwekezaji
Malingo mengi na hawa mweleweshi mteja ipasavyo muwaeleze wajifunze hizi ni pesa. Na wao wana taka mteja

ibrahimelisha
Автор

Mimi nipo nawekeza UTT Liquid. Ni nzuri sana. Watu wahamasike kuwekeza, hutajuta.

masellemaziku
Автор

Asante sana kwa elimu nzuri. Nina swali dogo. UTT AMIS, mmejipanga au mnakabiliana vipi na matapeli wa mtandaoni kama tunavyosikia wamejaa Tanzania juu ya uwekezaji huu as far as unakuwa controlled na simu ya mwekezaji?

lazaromahulo
Автор

Maelezo mazuri sana bro! You nailed it

beatricejames-sssx
Автор

Kuanzia dakika ya 36:20 anaelezea kujiunga unabonyeza *150*82#

Pia wameweka namba za simu. Kwakweli sijuii kuwekeza UTT tangu 2022😊

mwanrique
Автор

Asante nimekuelewa mwelimishaji ubarikiwe sana

CharisterWagofya
Автор

Maelezo yenye kueleweka vizuri.ahsante

husseinchogerosamo
Автор

Maelezo mazuri, elimu itolewe kwa watanzania wengi wanaumia na vikoba bila manufaa yoyote

jumamabu
visit shbcf.ru