Nyumbani Ni Nyumbani | TMK Wanaume | Official Audio

preview_player
Показать описание
Song: Nyumbani Ni Nyumbani | Artist: TMK Wanaume

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Majani heshimna yake haiwezi kuvunjwa na hawa wasenge wa Juzi afu tunaangalia tu.... Jamaa huu mziki kaufanyia mambo makubwa sn HESHiMA YAKE iTUZWE.

abbaslivene
Автор

tuekee movie deki iko kwa fundi, watoto wa buku bee kaeni mbali😅

YusufAli-jlls
Автор

P funk majani best producer of all time hapa bongo. Biti hatari sana hii

placidaiddiphonce
Автор

The way temba starts ni balaaa alikua na hasira sana.... Mapanga shaa shaa

rsoo
Автор

Wanaumeeee tujitume mtumeeee salute sana luteni karama

mohamedhamisi
Автор

YAN TMK NAIPENDA MPAKA. NAIPENDA TENA TANGU UTOTO WAKUBWA MMETISHA SANA HESHIMA KWENU

JumaNassoro-qp
Автор

Nyimbo boraa ya hiphop kuwahi kutokea zilizoimbwa na makundi ya mziki wa bongo kwangu hi ni no one

emmanuelmashauri
Автор

Kuna Prado na Musso, daah Musso kitambo sana

mwamakulagwakisa-stmh
Автор

kwetu maharage ni bora kuliko nyama, anayopikaga mama mi ndo nayapenda sanaaaa....june 2020 still best song

frankkanyungu
Автор

Hii ni nyimbo bora nimejifunza mengi sana asanten TMK ujumbe utabaki nyumban ni nyumban kabisa kwa wenzako sio kwako ❤❤❤❤❤

fatmachambotanzania
Автор

Gonga like kama bado 2020 unaisikiliza hili dude

saimonzacharia
Автор

Hyu jamaaa aligonga hlo beat salute 2023

albinusnyaiyo
Автор

Wanaume waliimba enzi hizi bana..daadeki🙌

petersekidia
Автор

Nyumbani ni nyumbani kwa jirani sio kwako,
Na amehama kwao kisa hakuna umeme...
Nyumbani ni nyumbani wewe Tia tu team 2020 huu mziki mzuka🔥🔥🔥📢📢

burgwellmslim
Автор

Nashkuru nilikuwa hai wakati TMK wanaume wakiwa one unit🔥🔥🔥🔥🔥

traytrid
Автор

2019 hii ndo ilikuwa bongo fleva zenye mantiki thanks for all brothers

amanimyolo
Автор

Nyumbani ni nyumbani bnaaaa unazurula tuuu ujulikani mtoto wa nan 2❤2 ❤

glorynkya
Автор

Kwenu ni kwenu hatakama pameezekwa paa moja, sio hoja

ibraimoissiaca
Автор

Mziki wa zamani huu had leo 2020 tunaburudika na ujumbe

johnmorange
Автор

Mjomba Hassan wacha koroboi humu ndani mbu wamezidiiii

RioIpo