WACHUJA NAFAKA - YA LEO KALI (@djjasmix)

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nani anaskiliza ngoma hii 2021
Gonga like hapo twende sawa.

HassanHassan-sirt
Автор

Anae sikiliza hii ngoma hadi leo 2019 gonga lake hapo twende sawa.

HassanHassan-sirt
Автор

nasikiza mpaka leo na haijaisha vibe 2023

luogajr
Автор

hii tape nilikuwa nayo...much love from kenya....

emash
Автор

2023 nikiwa LONDON BRIDGE HAPA UINGEREZA naisikiliza kwa hisia nikikumbuka kipindi kile nipo primary school at MAKONGO SCHOOL napoteza nauli naamua kupiga mojamoja toka school mpk home masaki. nafika masaki na miguu imevimba ASKARI WA GETINI ANANIAMBIA YA LEO KALI DOGO

joelthomas-mxgm
Автор

Kazi yangu ilikuwa ni kurudisha rewind kanda kwa kutumia pen. Sir Nature 👐

mohamedmagatila
Автор

DOLLO nilipenda sana Rap zake za kiswazi

hamisimkongo
Автор

From Jambian Zanzibar still bang until now haina doubt hii ni moto 25/7

danielmatya
Автор

Weka na mzee Wa busara pamoja na radhia

hassanmanjoti
Автор

2020 tupo tunaishi mpaka mungu APENDE nipo na wanangU TUNASIKILIZA NGOMA leo 10/3/2020

abdallahmagonga
Автор

2020 mko wapi? gonga like tuondoke na kijiji

benjaminulanga
Автор

Imenirudisha 2001, Mtwara Tech, nilitumia yangu ya matumizi kununua hii album

keithevans
Автор

Can’t believe I was fortunate enough to be born in this era

ESTONIATV
Автор

Hatarii sana maisha yanaenda kasi sana.big up sir nature

hamisally
Автор

Daaa!! kitambo sana ya leo Kali kunguru kanyea UGALI

josephkadudu
Автор

Dah imeshapita miaka 22 sasa toka hili goma limetoka 2002....dollo, kr mullah na sir kiroboto..hawa jamaa ilitakiwa wawe matajiri kutokana na mziki waoiokuwa wakiimba

abumuhammad
Автор

2021 to 2022 still here ya leo kali love from wachuja nafaka 🇹🇿

anethmhagama
Автор

Ya leo kali hiv hawa watu wanaojinyonga hawaoni utamu wa ugali 🤣🤣 KR MULLA

josephselemani
Автор

duh aiseeeeh, mpaka sasa nami nimekuwa bro

richardkirongo
Автор

2024, wanatoa macho kama wamepoteza nauli, 😂😂😂.

HamisAlly-uwsc