BINADAMU EPISODE 1 (SEASON ONE)

preview_player
Показать описание
#Binadamu #Series
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tumetoka kwenye maneno ya kuambiwa mpak samahani asate mpaka kwenye binadamu wabaya😂😂😂😂😂😂😂 kuwapenda2

DidaAlly-izit
Автор

Wangapi tunapoteza muda kuangalia binadamu tukisubiri Samahani Asante like nyingi

nyukiperfect
Автор

Mambo ni moto..thamthilia safi..ahk niliwamiss sana...mbarikiwe nyote mulio shiriki Amen

neemakarisa
Автор

Mashallah haya kazi kwetu watazamaji maana anaga masiara na kazi zake huyu mkaka mashallah mashallah mashallah

bnussrahlimsantah
Автор

From maneno ya kuambiwa sasa binadam hongeren tuko pamoja

denisjosephdaudi
Автор

Hongera washiliki wote mtawala ume nenepa

rukiaomar
Автор

Tunaoangalia muda huu tukiwa pekeyetu embu tujipige kifuani mara 3😜, hongeren washiriki wotee

asamunique
Автор

Huku samahani Asante huku binadamu kazi nzuri sana lazima tujifunze kitu!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

LucyLucas-zq
Автор

Èe kitale me nkajuaga ulishaga ipotezea hii movie, asante sana

dvjkelly
Автор

Kaka we ni nyoko sanaa aseee... Congrats

Kokomaster
Автор

Kubali sanaaa tulikua tumewamiss sanaaa vyakwetu tuvipende🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤👆

chusseboywcb
Автор

Majizo mwambie kitale KIMEUMANA! Lulu sema wowwww..

dianajeremiah
Автор

Hii crew iko vzr kwenye ubunifu na namna nzuri ktk uandishi pia kuigiza #no.one in TZ

tonyi
Автор

ASNTE bro kitale kazi nzr japo nimechelewa kujua

ayshermohd
Автор

Welcome back with a new hit one so scared 😱

Janyboy.
Автор

Waukae big up moro unatuwakilisha vyema

priscapaulpaul
Автор

Wanangu nyie ni mafundi mpaka mnakeraaaa🙌🙌🙌

dominickvitus
Автор

Safi Sana hata hii bila Shaka itakuwa nzuri Kama maneno ya kuambiwa

husseinkassimu
Автор

Uwiiii yani ndio episode 1 lakin nitamu tena na tena kitale ujawai kosea Asante washiriki wote nawapenda sana ❤️😍😘😍😘❤️😍💕

sarhasarhasalum
Автор

Iko bien kabisa nipo congo kalemie napenda sana

toptomix