Ifahamu Historia ya Tajiri namba moja China, Jack Ma, mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana 🤌 kaka vitu adimu sana kama hivi

mwanaidialiame
Автор

Thanks Sky you're the best presenter bro and thanks for this inspirational story!

isikesamike
Автор

SNS ni YouTube chanel pekee nayoikubali zaidi 🇹🇿. much respect since the one

augostinopaul
Автор

broo tunaomba vitu kama hv mtu letee ili tupate amasaa ya kutokukata tamaa kwenye maisha yetu, ahasante Sana sky

abdullahyaasin
Автор

Nakubali hayo ndo Mambo man we need more

erisonguonahom
Автор

Asante sana Sns kwa vitu hivi tunajifunza

anisiamedard
Автор

Thanks brother sky kwel nimepata kujua na marufuku kukata tamaa

rehemashafi
Автор

Kila kitu kinawezekana. Unaweza kua juu ukiamini. Ahsante sana SNS

danfordmkwandule
Автор

mm hapa nimejifunza kitu kwamba kwenye maisha ili ufanikiwe unapaswa kuwashilikisha wengne weng tunaferi kwakua tunataka kila ki2 kiwe chako tunahis kama tukiwashilikisha wengne watafaidika hatutak wengne wapate mfono sky hakutaka apate pekeake akaamua kuwapa nafasi na wengne kama mkewe, esco na chris ndomana wanafika mbali. NB ili tufanikiwe lazima tusiwe wabinafsi kama una wazo shilikisha na wengne.

mikehjackson
Автор

Sanaa huyu jamaa ni nomaa yaan Kila kitu utakipata alibaba com

salmaathuman
Автор

Nimelike page ya Alibaba Fb wana vitu vizuri sana aise

anisiamedard
Автор

Asante sky kiukweli nimekuelewa nimeifutilia dah🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥 yaan umenifanya niifutilie kupitia kipindi chako

lilianjeremia
Автор

Alibaba is a big deal yani mashallah asante bro sky 😘😘😘

aminaabdallah
Автор

Makala nzuri sana...ila iko fupi sana..kwani hakuna nyingine utuletee mzee Sky

kennytwinzi
Автор

I think for the 1st time nw I appreciate this channel for critical point ant topic of today so I wish best day always the day

jeffbezos
Автор

Pale Kariakoo miaka ya nyuma wahindi na wachina wamepiga sana mtonyo kwenye DVD selections za bluerays n.k kwa kutumia logo yake na wengi wakaamini ni bidhaa original za huyu jamaa. Mungu anawaona..

bensonkaile
Автор

Tajiri namba moja china ni tajiri wa 21 duniani duuuuh shikamaoo USA!

stanslauschatata
Автор

Alibaba Kiarabu nii mtuu mwezii yy sio mwezii🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦

amourhasaan
Автор

Jamaa Ana akili sana aliona amesha kua na alibaba akaona afungue alimama iliwazae watoto wengine (makampuni)😃😃😃

thenextmvp
Автор

Tajiri mwenye hisa nyingi Tensest ndio kinara kwa sasa nchini china kwa mujibu wa jarida la Forbes

bensonkaile