NCHI 10 TAJIRI ZAIDI BARANI AFRIKA | HIZI HAPA..

preview_player
Показать описание
Manyunyu TV ni channel ya YouTube ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu.

Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswali.

Tunajitahidi kuwa bora katika kila kitu tunachofanya. Tuna ubunifu mkubwa na tunaonyesha ubora katika video zetu. Tunaamini katika upendo kwa jamii na tunataka kuwahamasisha wengine kufanya kazi kwa bidii na kufikia malengo yao.

Karibu ujiunge na Manyunyu TV, mahali pazuri pa kujifunza, kuburudika na kujumuika na wengine. Asante kwa kuwa nasi!

Tupigie: +255652730422
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tanzania usiifananishe na nchi ndogondogo km hizo..ukiona hivyo tz ni kubwa

elizabethmgassa
Автор

Unatudanganya.. Afrika hakuna Nchi yenye watu wengi Lohoooo Afrika bhana!!!!

festohaule
Автор

Kwa hiyo sisi tanzania ni moja ya nchi masikini barani afrika

maalimrajabu
Автор

😅😅😅nani kasikia Nigeria inaongoza Kwa watu wengi duniani, nipe like

gracemachege
Автор

Tupe chanzo cha takwimu au utilities wako unless ni uongo

nyamkamba
Автор

Ripoti which, imesema what!? Unazingua sana.

dionisisarwat
Автор

Yaan kenya iwe juu ya ghana acha uongo kaka mbona mitandao mnatumia ovyo hiii fanya utafit wa kutosha njoo utoe takwimu

DavidMbwilo-qkbz
Автор

Mbona kama manyunyu yamezd Morocco et namba 5

ShedrackEnock
Автор

Ww ni tahira nigeria inaongz kwa watu duniani

OmaryNdee
Автор

Takwimu za kipumbavu kutoka kwa mtu mjinga

thaubannaftal
Автор

Ungeongea source ya utafiti wa taarifa hiyo ningekuelewa, lakini saivi unaongea matango poli hayo.

malugukushaha
Автор

Umeteleza uliposema kuwa Nigeria kwakuwa na idadi ya wa miloni 206 eti Sasa ndiyo yenye idadi ya watu wengi DUNIANI hii sio kweli sahihi ni Kuwa Nigeria ndiyo ncho yenye idadi ya watu wengi zaidi AFRIKA....

abdallahsiraji
Автор

Tanzania inaongoza kwa uwanachama wa ccm kindaki ndaki😅

HafidhAli-cq
Автор

Muongo huyu kha namba 10 Evercost, 9 Tanzania namba Nigeria

mariamdimosso
Автор

Nchi yenye utajiri kwa Africa ni Pemba, angalia Pemba inavozalisha mafuta ya karafuu na karafuu zenyewe

hamadfaki
Автор

Chanzo cha mapato ni kilimo, madini na utalii kwa nchi nyingi, kitu cha kushangaza zaidi Tanzania imebarikiwa madini na vivutio vingi vya utalii lakini haipo, hata kwenye Top10 😂😅😅

FrancisRM-exvf
Автор

Sidhani kama takwimu zako hizi zina ukweli

boniphacelusato
Автор

Najua roho inauma kukosa Tanzania 🇹🇿😂😂😂

hamiduhamisi
Автор

Umedanganya drc iko wapi??? Umezipanga Ichi zako mbaya

sadikidavid
Автор

Mumejuaje watu wako wangp salala kuna watu wazaliwa nakufa sijui mwajiaje watu

FatmaMohammedmwenye