PENZI LA JINI KISIRANI #kicheche

preview_player
Показать описание
#comedy #kichechecomerian #babajoan
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ule djini ana cheza vibaya sana hastaili kua djini.

GraceMumbere-vz
Автор

Jini la kibongo halikujua kama jamaa kaoa 😂 wabongo bhana

Emmanuel-nxhi
Автор

Cheza huko huko makaburini siku moja yatakukuta kweli

suleimanissa
Автор

Mhariri, ungeangalia huo ulimi jamani😝🤪😜🥵

careysonscollections
Автор

hata hivyo baba joan, kazi unaifanya vilivyo

careysonscollections
Автор

Jini hakujua kma Ana mpenz😂😂😂nmechek mpk machoz ymenitoka😅😅mbwa wew

BintMalkia
Автор

Nimeikubali mkojuu niharrun from mombasa kenya

harrunathuman
Автор

Hehehehe sinasikia majini Huwa mnajua kabla hamjamteka uyo mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂kazi nzuri

حسنا-ضز
Автор

Wemudada ndiyo nikazi lakini kama hujaorewa wanaume watakukata kwajiri yah iyo parti unayocheza yamajini utayitwa jini kabisa 😂😂😂

AghHh-vf
Автор

Nimejifunza kitu Aswan Elphas from Kenya

aswaneliphas
Автор

Thanks for watching. Je, baba yangu kipofu ep 47 imetoka?

careysonscollections
Автор

Hiii character ya ujini wampe mwemgine bhna😂😂uyu anatuzingua

Puxladen
Автор

Kazi nzuri #babajoan
Pia asante kwa ujumbe huu kwamba ni Bora kutafuta utajiri kwa uwezo walk mwenyew kuliko kutegemea nguvu za kishirikina mwisho wake unakuwa mbaya kwa hiyo tunatakiwa kupambana kwa nguvu zetu wenyew na pia kumuomba mwenyezi mungu atuwezeshe🙏🙏🙏

wilsonsamsonwilliams
Автор

Jini kaingiwa mchanga machoni au😂😂😂 😂kuwen srious bhana jini kachunda😂😂😂

BintMalkia
Автор

Baba Joan umeshindwa kuzuia ulimi unatetemeka

mariamanzazi
Автор

Uyu anae cheza kama jini hajui kakosea bhna

Lisaah
Автор

Daa! Filamu fupi lakini smarter Aiseh 👈👉

PeterClinton-dw
Автор

Daaahh Leo nimechelewa kuingia jamani hata hivo isiwe sababu msnipe likes zangu nipeni tuu

rosemaryier
Автор

KUIGIZA KWENYEWE HATA HAMJUI, NYIE NI VIMEO TU

mussaissa