KIBENTEN FULL MOVIE

preview_player
Показать описание
@kicheche1570
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Turabakunda hano iwacu mu Rwanda ❤️❤️🇷🇼🇷🇼🇷🇼

bisimwaerictv
Автор

Kutoka baba mwenye nyumba mpk mlinzi waooh inamafunzo kedekede❤❤❤❤

priscillahsirya
Автор

Kibenteni ni 💥💥💥💥.. leteni nyingine kama io io.. kicheche ❤❤

marymurungi
Автор

Kibenten noma sana really liked the movie🔥🔥🔥🔥🔥 live nikiwa ushelisheli

Bonface.ligare
Автор

Luta man na mkewe ameua sio kwa uvumilivu huo upendo wa dhati upo moyoni 🎉🎉🎉🙏🙏🙏✋✋

JumamgemamatogoloMatogol-degx
Автор

Kibenten ni nima sana Kaka kicheche songa mbele ❤

Joshuakambale
Автор

Kicheche baada ya hii, kwasabu imesha isha, bora uka endeley Na "Lamba Lamba*
From Congo we follow you
Tuna taka tu mwisho wa Lamba lamba Bro

mercikakarwa
Автор

nawapenda wote jamani kwa kazi nzuri ongeleni nimeipenda ila kawina mzuri kaka uyo na ruta man; vailet; latifa; Belina; kicheche na wake wa kawina ao vituko na uyo dactari aliyempenda kawina ongereni kwa kazi nzuri pambaneni sana

FabianoJumanee
Автор

Much love Kwa staring Makoti....nilisuniri sana hii full movie 🎉🎉🎉

danielkazungu
Автор

Wueh kali ni mengi jamani....hongera Kicheche😂😂😂❤❤❤...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

stanleykimathikabanga
Автор

Movie nzuri aisee, nimecheka na ina mafunzo mazuri ya maisha👍🏾👍🏾👏🏾👏🏾👏🏾

makongorowassira
Автор

kicheche na ruta man big love from Kenya

emmanuelsifuna
Автор

Kicheche man... movie Iko best man.... hongera man... uko juu man... Season ya pili man tunangoja man.... Tuko Mombasani man... Kenya man....

wildbaobabsafaris
Автор

Peter kutoka Kenya noma sana napenda mumefanya kazi mzuri sana

PeterGati-mx
Автор

😂😂Kicheche the 30 second man 😂😂. Hii nayo Kicheche ni🔥🔥🔥🔥

BrianMoha
Автор

Wakwaza Léo nipeni like hâta 50 jamani nawapenda boss ❤❤

gabrieltz
Автор

LUTA ndie Alie Uwa Sana Kwenye Movie 👑👌🏾👌🏾👌🏾

rajamaar
Автор

Nice, movie. naitazama nikiwa uganda na marafiki zangu japo hawaelewi kiswahili. mngeweka tafsiri ya kizungu ingekuwa ya kimataifa. ikifaa hiyo season 2 itafsiriwe.

muhituchristian
Автор

Dah huyu Rutha man katisha kinoma 🔥 Kicheche best comedian ever in Tz❤️🔥

yussbreezy
Автор

nakukubali sana kibenten 😅😅😅❤❤ pumbavu zako tuko pamoja ❤❤❤❤

HalimaMohammed-wvuf