Nani Anayesema Ukweli Juu Ya Kifo Cha Moringe Sokoine? Hii Hapa Historia Yake Mwanzo Mwisho (Part1)

preview_player
Показать описание
#HomeOfUntoldStories #borndifferent #youtubeshorts #moringesokoine

Mfahamu Edward Moringe Sokoine kiongozi machachari na aliyeogopwa na wahujumu uchumi na wala ruswa katika serikali ya Mwalimu Nyerere.

Whether you’re into recent discoveries, true stories or unusual trendsthere’s something for everyone!

You can expect all that and more coming at you in top-quality videos that are coming in every single day. If you’ve got a thirst for knowledge that never quits, then join a community of 89 thousand and growing! We have a good time, so take your shoes off, kick back, and make yourself at home here on the home of untold stories!

Join the world's largest community of good and curious people! 😉

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante sana kwa kufuatilia channel hii. Tafadhali, usiache kusubscribe, kulike pamoja na kushare video hii🙏🏽

charleskombe
Автор

Edward Moringe Sokoine and Edward Ngoyayi Lowasa, the greatest Maasai figures

majii
Автор

Shukrani nimejifunza kitu katika nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania

salumsamesame
Автор

Hakika EM Sokoine alikuwa mfano wa viongozi wachache wa kuigwa enzi zake na hata sasa.
M/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amen.

raymondonyona.
Автор

Uko vizuri elimu ya historia, umenifafanulia vitu nilikuwa sivijui

levsuvz
Автор

Asante sana ndugu kwa kutujuza historia ya Mwamba hayati Sokoine. Kumbe yule Myao aliuza meli! Du Asante Kwa historia nzuri.

josephmoyo
Автор

Kifo Cha sokoine kilinistua sana nikiwa mwenge sekondar mwaka 1984

sebajohn
Автор

Magu sokoine na mwl nyerere mungu atawaweka Kwa mbingu yake hakika inasitisha Sana viongoz Kama hawa 1 nyerre gadafi madiba magufuri na mgabe nkuruma

chanilamasanja
Автор

Mwaka 1983 nilikuwa darasa la nne, shule ya msungi upanga. Nilishuhudia kwa macho yangu, vitu vingi vikitupwa mitaroni na wahindi kwa kuogopa kukamatwa na kuhojiwa. Dar palikuwa pamoto. Na siku Mwalimu Nyerere anatangaza kifo cha Edward Moringe, nilikuwa darasa la tano. Nakumbuka, kipindi cha malenga wetu, cha radio Tanzania, kilikatizwa halafu ikapigwa nyimbo ya taifa, alafu Mwalimu Nyerere akatangaza. Nchi nzima ilipoa.

jaymadeleka
Автор

Hakuna kiongozi kama marehemu Edward Sokoine, kidogo aliyekuwa anamfuatia ni marehemu rais John Pombe Magufuli. Kando ya Mwlm Nyerere na Magufuli hakuna kiongozi mwingine aliyefuata nyayo zake.

thomasnyarusanda
Автор

God bless this departed soul. Rare African Jewel

Dennis_Okelo
Автор

Edward Moringe Sokoine alikuwa mtu safi sana. RIP

godmbise-gjug
Автор

😂😂😂 Kabisa hapo nakusoma vizuri. Nikuwa ninataka nikuombe hitoria kidogo kuhusu Hayat Eduard Muringe Sokoine.

utxcrhg
Автор

Mimi nilikuwa kando na alipoketi baba yangu akisikiliza radio 277 ghafla wimbo wa taifa ulipigwa ndipo tangazo la kifo chake lilisikika, RIP Edward Moringe

henryjohn
Автор

Inasikitisha sana...😢😢😢 Yaani kiongozi kama huyu anauliwa na mafisadi na serikali inakaa kimya.

mfebricknkuna
Автор

Nakumbuka siku hiyo ya kifo chake nikiwa darasa la 6, tulikuwa madarasani ikagongwa kengele ya dharula tukatoka madarasani na kukusanyika kwenye eneo la assembly. Mwalimu mkuu akiongozana na walimu wengine wakafika, Mwalimu mkuu akatutangazia kuwa waziri mkuu Edward Sokoine amefariki kwa ajali ya gari. Shule nzima tuliangua vilio na utulivu ukakosekana, tukaruhisiwa kurudi majumbani. Ilikuwa huzuni kubwa sana

daudimichael
Автор

Hakuna waziri eti kujiuzulu Kwa matibabu, huu ni uzalendo wa Hali juu

yakobokakuni-jmun
Автор

Mimi napata ukakasi, nikiangalia jinsi ambavyo misafara ya wakubwa inavyolindwa! Mh!

franciskira
Автор

Nchi kwa sasa imejaa ufisadi wa kutisha, nani kiongozi anayeweza kuvaa viatu vya Sokoine, waliopo ni wachumia tumbo tu.

biteyubwoba
Автор

The Giants three leaders in Tanzania was Edward Moringe Sokoine Julius Kambalage Nyerere, JohnPombe Magufuli R.I.P

gaspercharles