Nini Chanzo Cha Ugomvi wa BIBI TITI na NYERERE? Huyu Ndiye BIBI TITI Mohamed

preview_player
Показать описание
#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe

Ahsante kwa kuendelea kufuatilia, please Subscribe!

If you’ve got a thirst for knowledge that never quits, join a community of 100k thousand and grow! We have a good time, so take your shoes off, kick back, and make yourself at home here at the home of untold stories!

_____________________________________________________________________________

#youtube
#youtuber
#subscribe
#youtubelikes
#youtubevide
#youtubemarketing
#youtubeviews
#instavideo
#instayoutube
#youtubeindia
#youtubeuse
#youtubelife
#youtubesubscribers
#youtubelive
#youtubecreator
#youtuberewind
#youtuberp
#youtubepremium
#video
#vlog
#live
#life
#youtubechannel
#memes
#twitch
#viral
#lol
#trending
#newvide
#youtubevideos
#youtubemusic
#youtubechannel
#video
#live
#youtubecreator
#subscribe
#viral
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thank you for your kind consideration and support. If you wish to contribute to this channel, you may kindly do so through Mobile Money/Tigo Pesa number: +255 652 721 682. Your support is greatly appreciated.❤

charleskombe
Автор

History ya nchi hii imefichwa sana. Hii tunayoisoma mashuleni ina mapungufu mengi sanaaa. Na hii yote inatokana na ubinafsi wa Nyerere yaani baada ya Uhuru alihisi akiwapa heshima Yao walouzamini na waloupigania uhuru yeye angeonekana kama kivuli tu na asingekuwa na nguvu na sifa ambazo leo watu tunahisi kama ni haki yake kumbe kuna watu hao wakitajwa kipindi hicho huwezi kuona nafasi ya Nyerere kwenye mbio za uhuru. MTU kama abdul waded Sykes (Babu yao akina dully Sykes huyu mwanamuziki), chief Abdallah fundikila na wengine wengi ilikuwa ndio wenye nguvu na ushawishi kwakuwa wao walikuwa ndio watoto wa mjini(wazawa wa mzizima). Rejea kitabu cha (KURA TATU) iliyofanyika mkoani tabora chini ya chama cha TANU utajua mambo mengi kwani kura ya Nani awe rais wa chama kipindi hicho ilimuangukia abdul wahed Sykes chaajabu Nyerere alisema abdul wahed amependelewa. Abdul wahed hakuwa mswahili-swahili yeye alishauri kwamba nafasi apewe Nyerere kwani kipindi hicho wengi wa wanamapindizi waliamini cheo sio tatizo, tatizo ni vipi mkoloni ataondoka. Matokeo ya kura tatu ilopigwa mkoani tabora ndio iliyompa Nyerere kiti. Na iliitwa kura tatu kwakuwa ilijumuisha majina ya wagombea watatu tu akiwemo (1) Abdul wahed Sykes (2) Abdallah fundikila (3) Julius Nyerere

rshidmwasa
Автор

Chanzo cha ugomvi wao ni Lucy Lameck! Nyerere alimwajiri Lucy Lameck na kisha kumpa scholarship ulaya bibi Tit akashikwa na wivu mkali sana!.

ramadhanimwijage
Автор

Mzee Mwinyi alifanya jambo kubwa kumrudishia Shujaa huyu Nyumba zake. Funzo kubwa sana

ClubD
Автор

Nyerere alikua hapendi kuona mwingine anafanikiwa

ShabaniAlly-ww
Автор

Historia ya Bi Titi inasikitisha sana ila kiukweli alionewa.Historia ya nchi imemezwa na mtu mmoja tu ili hali kuna watu wengi walipigania Uhuru

simonnembomadola
Автор

Jamani kumbe figisu tz zimeanza zamani huyu bibi TT alipbqnq sana alitakiwa awekwe kwa historia .mpambanaji wa kwanza mwanamke Tanzania.

marynjau
Автор

Mwinyi mungu akurehem kwa uadilifu wako

dudi
Автор

Vjana tuamke nchi etu hii inamambo ya uficho mengi

EnockJoseph-rc
Автор

Kwa hilo nyerere Alikosea sana kutaifisha nyumba za Huyo mama, alimkatili sana , Hakufikiria na yeye alijiona mungu, kwa sababu kiongozi mzuri huwa anakubali kukosolewa, Pamoja na kwamba nyerere alikua na Mazuri yake , Hapo alikosea sana 😢😢😢, mungu amlaze mahali pema Bibi titi mohamed , ni mengi ameyafanya mazuri

MwitaTv
Автор

sio bara bara tu vitafutwe vitu vingine vikubwa vipewe jina lake... kuna hospital na vyuo vikubwa ... barabara watu hata hatusomi vibango ... pia waweke kwenye nembo za taifa .... rip bibi titi .. alikuwa mpambanaji

donvanpierre
Автор

Charles Kombe jitahidi utoe makala hii gazetini ni raising wetu wengine kuihifadha kuliko humu, nimejitahidi kuisave nimeshindwa tafadhali hizi ni taarifa nzuri za historia ambazo kwa mazingira uliyoelezea hayakuweza andikwa.

AsheryAndreaMalekela-ehrn
Автор

Bibi titi tunashukuru ujasiri wako wa kuanzisha kiswahili tanzania baada ya hoja ya taa za magomen za barabarani, kuwasilisha hoja bungeni

BarakaRwegoshora
Автор

Nikwamba uongo haudumu milele tunako elekea hata historya yetu ita paswa kuandikwa tena tulicho someshwa niuongo mwingi nawasomi wetu wahovyo kuficha ukweli ndio ilee bina dam wakwanza alikuwa nyani pumbav.

saidshalo
Автор

Tanzania ni inchi ambayo ina siri nyingi sana nzito nzito😂😂😂🙌🙌🙌

raymondamandus
Автор

MWLM NYERERE....ALIMTUMIA BIBI TITI KWA MASLAHI YAKE....ALIPOTIMIZA HAJA YAKE AKAMBWAGA....

karimkassam
Автор

Yakumbukwe mazuri ya Titi. Mwl hakupenda mtu awe mjuaji zaidi yake, wala apendwe na watu zaidi yake, wala kuona mtu anaendelea. Alitaka kuzunguukwa na masikini na wanaomkubalia kila kitu. Viongozi wengi wana tabia kama hii. Walioshiriki ktk kupigania uhuru Nyerere aliwatupa, wakafa hawajulikani, akawaweka watu wake

dudi
Автор

Nyerere kama nikweli mungu atamlipa bi titi na atamfikiria Nyerere Kwa aliyo mfanyia means harakati mwenzie

yahayamtonga
Автор

Inabidi tukubali kuwa kila mtu anaudhaifu wake Mwl alikuwa na udhaifu wake kitu ambacho akukipenda ni mawazo huru ndio maana ilifikia viongozi wenzake kusema kuwa Mungu ametupa Mwl mwenye uwezo wa kufikiri na sisi (watanzani) tunatekeleza Nawaomba watanzani ebu tuenzi mchango wake ktk Taifa hili na historia ya uhuru imtambue kama mwanamke kiongozi ktk kutafuta uhuru, Tusahau ugomvi wa wawili hao

IdrisaKimwaga
Автор

Inayosomwa mashuleni mbona haina huu uhalisia?

robertkyara