Stamina Feat Lody Music - Hayana Maana (Part 3) SMS [Skiza 8091567] to 811

preview_player
Показать описание
#Stamina #HayanaMaana #SlideDigital

Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Stamina & LodyMusic
Video Directed by Khalfani

Follow Stamina on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tulie rudia kuplay hii hit zaid ya mara 3 tujuane hapa. MAPENZI 🙌

mbunah
Автор

Turio ludia mara mbili kuitizama hii ngom tujuane kwa coment hapaaa, , , , lody music kaua kwa chorus

richadifabiani
Автор

Bg up moro town boy nmependa hapo uliposema unakomaa unampeleka mliman akale pza akito anaenda kwa mwana anekula chuv ya uviza kwel mapenz hayana mana 😂😂😂😂

anjawestanley
Автор

Mzee hiyo level uliyoifikia, ni kwamba dunia ikae kimya kwa dk mbili isikilize ngoma hii🔥🔥🔥🔥ni kwikwi

samsonanthony
Автор

Hii SERIES HAIJAWAHI TOKEA KWENYE MUZIKI WETU AFRICA.... NADHANI STAMINA DESERVE MORE THAN EVERYTHING 🔥🔥🔥🔥🔥

yna
Автор

Kaka kwahili umenifikisha kileleni kwakujuwa wwe mkali.#stamina
#Roma njoo naww uje msepe n'a kijiji🦣💪🇧🇮🌍🌍🇧🇮🇧🇮🌍🌍🌍🐘🐘🐘🦣🦣💪💪💪

bigdaddy_faustinjumong
Автор

"Kwenye kipato chakoo buku ye anaomba laki" stamina umetishaa🔥🔥🔥

rizikimassawe
Автор

Lody brow Unapokwenda Tnanza kupaona Brow Namini Ndoto zko Znakua Mungu Akubariki Nakukubali zaid ya sana tangia Ulipotoka gadi utapokwenda Ishallah nipo na ww brow napenda unachokifanya

mohdkhalifa
Автор

Kweli kabisa Mr. Shorwebwenz mmetisha Sana na lody music🔥🔥🔥 mapenzi Ni SoMo lisilo na kikomo big up Sana tupe nyingine Kaka🔥🔥❤️

gidionsylivester
Автор

Unalewa Nini Wakati mwenzako Amekukataa Unampendaga mwingine nayo mwingine Sha penda mwingine usijiumizee lody music ft Stamina nice song more love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🥰🥰🥰

TheflywingsEntertainment
Автор

Stamina sio level za hawa marapa waongo ongo janjanja janja hawa, stamina ni another level.
Lord kaua chorus keep standing mshua

nicelemoTripleFive
Автор

hapo Kwa mshauri wa Ñdo Kuwa làbda alishawai pewa talaka Ñdo line nimetii Saana, , , , Stamina wewe sijui n jua Gani unaotanga Kweli, nataka niuote pia punchline za kubabee kweli, mega shout out Saana, ,kenya inakubali Saana kazi Zako brw🔥🔥🔥🇰🇪

kakadabby
Автор

mapenzi haihitaji nguvu ya broman much more love🇰🇪🇧🇭🇰🇪🇧🇭hayana maana kweli hayana maana

kennethmuchai
Автор

Umewagusa wote na ukweli wote, kama umekubali gonga like yako apa chini

touristmorgan
Автор

I normally find my comment not worthy to be on any stamina's project, therefore let me just say much love and blessings from KENYA 🔥🔥🔥

willinjowritter
Автор

Najua wengi hawataamini but in the world of music Roma is the king

JokinyBChronicles
Автор

Stamina is a very underrated Tanzanian lyricist I swear.thats what we call Music. 🧠🧠🧠

amiahadi
Автор

Duh, hataree ukikomaa na akili yako ilivyo utatufunza, ila wengi wanalewaga mbeleni, , , , Mungu akulinde na hilo

maswaladigitalplatform.
Автор

Stamina has been giving us good music ever since he started. Legendary that one, Respect!

dancunsteven
Автор

After listening to the song, I noticed the chemistry formed here is 🔥🔥🔥. Mmeua Sana wazee, nimejifunza mapenzi hayana maana

boysondeniclousTv