Stamina Feat Banana Zorro - Ukizaliwa (Official Video) {Part 2} SMS [Skiza 8091568] to 811

preview_player
Показать описание
#Stamina #Ukizaliwa #SlideDigital

Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Stamina & Banana Zorro
Video Directed by Khalfani

Follow Stamina on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siku ukizaliwa nitarudia, tena kwa sauti na utasikia, sitaki kukuonya kuhusu dunia, sababu dunia ipo na utashuhudia. Mwana wa Zorro . Strong Vocalist ever

issackchekwaze
Автор

Tujuane tulie rudia zaidi ya mara 3😲😳😲

clemencemtei
Автор

“Usiwe mwanamke wa mwanamke, nataka uwe mwanamke wa mwanamume”. Message 💯

massachussets
Автор

Hii Ngoma lazima siku moja nimshikishie wangu..I'm 18 yrs but I can feel it best for my generation

briantomzn
Автор

Hii nyimbo imeimbwa na watu ambao wanajua wote ❤️❤️

zulfaabdala
Автор

Stamina hii umeandika San kaka na asa huyu Mt ulomshirikisha ooooh ameuwa vibaya kweny kitikio big up broo

shabanmageta
Автор

So touching. My wife is 5months pregnant. ✨ May she deliver safe. ukizaliwaaaah

trendingpages
Автор

Banana zorro fundi, mwalimu wa vocal, unyama mwingi sana. Umeniosha roho bro zorro. Stamina uko moto sana bro unajua, sauti iko poa sana, melodie kali sana, uandishi mzuri sana. Nashukuru kwakunipa muziki mzuri

SamirBSam
Автор

Stamina is something else.
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬👍
He is short but tall in mind. Amazing 🤩🤩

bwirenasser
Автор

Mwanangu, wanaume wenye pesa ni wengi, ila wenye mapenzi wapo wachache kishenzi apo akili ku mkichwa.Duuuh!!!!noma sana

issackchekwaze
Автор

Stamina huweza sana wapi like za stamina hapaa +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

gaashbwoyke
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Stamina ana mashairi yenye Stamina

ahutamorris
Автор

Ngoma kaliiii sana tuendelee kusikiliza na kutizama🔥🔥🔥🔥

khamisnjiwa
Автор

Am from Kenya, but guys let me tell you.... Stamina is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, nafurahia sana wakifanya kazi na How I wish nawezafuatanisha kiswahili kama Stamina.... Bwana, you kill the Mic Alafu, Banana Zorro ana sauti nzuri sana, inafanana na ya GrampsMorgan ule wa Jamaica.... Tanzanians we love you guys

anthonywamae
Автор

Asanteh kwa kuendelea kuiheshimisha Moro Town na pia bongo hip hop Tz, , , , 🙌🙌🙌🙌🔥🔥

monnahmo_tz
Автор

"Tambua we sio mdoli ukubali ukachezewa"number one fan from 254🇰🇪 you never disappoint Shorwebwenzi, waiting for part3

robinmdamu
Автор

A masterpiece that contains :-
No hot girls,
No swearing,
Tells a story,
And sends a message,
Truly a masterpiece by the masterpieces themselves. @STAMINA&ZOLO

TheMint_tz
Автор

Mr. Bonventure...much love from Kenya. Kazi safi. Mafans wa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we salute you

ogechilinus
Автор

stamina ukosei nakubali me shabiki yako number one

shemamusictz
Автор

Two legends🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥 what a message hii Ngoma inafaa tuzo 🙏❤️ from Mombasa

Official_Lifa