WARM UP (Remix) - Manengo Feat Nacha,P The Mc,Stamina,Moni Centrozone,Nuhmziwanda

preview_player
Показать описание
#Manengo #WarmUp(Remix) #Nacha #PTheMc #Stamina #MoniCentrozone #NuhMziwanda #SlideDigital

(C) Free Nations

Manengo Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Manengo

Raphael Charles Lucas popularly known as Manengo,is an hiphop artist in Tanzania (Recording Artist/ Music composer). He was born 1995 in the city Mwanza .Manengo has achieved massive gains through his mostly liked songs “ Bomba Ipepee, warm up/ warm up remix and a lot of nice songs which are doing great in east Africa

Follow Manengo on:

Habari●

Jirani●

Kwaheri●

Mbuzi●

Warm up●

Hayana Jipya●

Warm up remix●
Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kila wakiskia NACHA 🔥🔥🔥
Wapi likes za Nyasubi

javanuzaj
Автор

Walio chizika Na verse ya MONI CENTROZONE GONGA LIKE

dommycash
Автор

Daaa Hili Song La moto sanaa, Ivi nani kwanza anaangalia video huku anasoma comment Tujuane Haraka aisee

yohanajoseph
Автор

Ndoo ya barafu henessy 1
Coca nyingiii😁😁👊

Mpya
Автор

Sitaki mechi na vibonde Dimba la kati la kwangu MUKOKO TONOMBE
watu wa Yanga tuishinayo hii 💚💚💛💛

hariddungu
Автор

nyasubi ndani ya mbanyu. hatar sana uyu mwamba

hamimhamis
Автор

Ni mimi tu ndo narudiarudia verse ya P Mawenge? 🔥🔥🔥🔥🔥

yovinpascal
Автор

We need another one of 2023 from this crew❤

davidwalalason
Автор

More love nengo kuwaleta hawa jamaa pamoja

ramadamasco
Автор

BONGE LA PUMBU WANANGU YAANII 💥💥💥💥💥💥💥💥 ILA MONI CENTROZONE

dommycash
Автор

ndio iyo mwanangu """ Upo tu sahihi #MajengoSokonCrew#malume

MasaiUbarnMusic
Автор

The beats tu wueh 🔥 🔥 🔥
My boy Nacha n mr bonventure

lukeoj
Автор

Waliofunika kwa namba
1. P Mawenge (Kwa sababu anaflow kali, vocal kali na Punch kali pia hana sifa za hiyo mistari ya kicomedy lakini ukimsikia lazima utacheka na kufurahi pia utajifunza na ujumbe wake hufika sawia kabisa)

2. Moni Centrozone ( Ana sifa inayokaribiana na Pmawenge ila kikubwa anapochana kwenye Bum Bap anakuwaga wa tofauti sana)

3. Nacha( Ana sifa ya mistari ya kicommedy na kudeliver ujumbe fulani hivi)

4. Manengo(Mistari ya kiComedy ni mingi kuliko Content, nimeishia kucheka au umeniburudisha lakini sijajifunza kitu. Ila sio mbaya kwa kuwa umenifurahisha pia naongeza siku za kuishi)

5. Stamina(Umewapa watoto ujinga wa mistari ya kicommedy sana kuliko content, ila pia hiyo mistari ina raha yake sio mibaya mwanangu STAMINA. Nakukubali sana kaka unatisha. Pia unazo ngoma zako za ujumbe na mafunzo ikiwemo ile uliyo fanya na Proffesor jay na zingine za zamani)

EXTRA-(Heshima pia ziende kwa #nuhmziwanda kwa Chorus Kali.

Kiujumla woote mmeua kwa aina ya mistari yenu hakuna aliyekuwa na mistari mibaya humo.

kibwamoko
Автор

Mawenge na moni centrozone wameua balaa

soudbako