MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - 26/05/2023

preview_player
Показать описание
Fuatilia kipindi cha Mshikemshike Viwanjani kikiwa kimesheheni habari mbalimbali za maandalizi ya mchezo wa fainali #CAFCC, Yanga dhidi ya USM Alger hapo Jumapili, pia Maandalizi ya usiku wa #KaziIpo ambapo mabondia mbalimbali wameshapima uzito tayari kuzichapa ifikapo leo saa 1:00 usiku #LIVE #AzamSports1HD
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwanza amuonye Quddabash kutoka azam media amekuwa akiiponda saaana Yanga kwenye social media

ashuramohammed
Автор

Why Not Us..?? Ni Swali zuri sana la kujiuliza sisi Watanzania, na tunaamini Kesho Mungu atatusaidia kupata Majibu ya Swali hili... Tunaamini majibu yake yatakuwa Yanga 4 Vs Usm argeria 0...

anthonymasembo