MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 30/05/2023

preview_player
Показать описание
TFF kupitia kwa Mkurugenzi wa Mashindano, Salum Madadi, yafunguka kuhusu kilichotokea kwenye Dimba la benjamin Mkapa siku ya mchezo wa fainali ya #CAFCC kati ya yanga vs USMA;

Wadau mbalimbali wakiwemo ma-DC wa Uyui na Sikonge watoa ushauri kwa Yanga kuelekea mchezo wa marudiano fainali ya CAF CC, na Ahmed Ally asema kazi yao ni kuwashusha daraja Polisi Tanzania.

Huyu hapa Omary Katanga katika #MshikemshikeViwanjani yenye mengi matamu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

HAIKUFAA RANGI ITAFAA CHOKAA 😂😂😂😂😂UTOPOLO ANDAZI FC 😂😂😂

salimmalaka
Автор

WEEE CHEKA
CHEKO, UANGUE
NI RAHAAAA HADI NDANI YA BUNGE LA TANZANIA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

abdallahsharif
Автор

SIMBA WAZIKENI HAO ILI WAKOME KUWAACHILIA UTOPOLO POENTS ZA BURE BURE.

salimmalaka
Автор

UKISTAAJABU YA KOBE NA
BADO WEYE HUJAYAONA YA YANGA NA USM
NI RAHAAAA HADI NDANI NDANI BUNGE LA TANZANIA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

abdallahsharif
welcome to shbcf.ru