#BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA MAKATIBU TAWALA wa MIKOA, VIONGOZI WAKUU wa TAASISI...

preview_player
Показать описание
#BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA MAKATIBU TAWALA wa MIKOA, VIONGOZI WAKUU wa TAASISI...

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Mei 29 amefanya uteuzi wa Makatibu tawala wa Mikoa pamoja na Viongozi wa Taasisi kuu...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😂😂😂😂 Serikali ya uteuzi. Hata hajasema chochote kwa wizi uliofanyika wizara ya fedha.

alanusrespicius
Автор

Kufikia 2025 utakuwa umemaliza uteuzi wako maana ndiyo kazi iliyokupeleka ikulu wewe kazi yako ni kufuta na kuandika utafikiri 2025 hakuna uchaguzi wateue tu 2025 watafutwa na kuteuliwa wengine

julianamasanja
Автор

🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tangia ateuliwe kuwa Raisi bado anateua watu.Kweli❤️ Dr.John Pombe Magufuli ❤️alikuwa na kazi ngumu.Jamani sio Kila mtu lazima awe Raisi Tanzania tujifunze kutoka awamu zilizopita.

hbdina
Автор

Mimi ni mtanzania lakini hatuna raisi raisi wetu alikufa

emeliusdominickkyaluz
Автор

Uyo mama ni mzanzibari Ivo msitegemee chochote kutoka kwake wataendelea Kula pesa za walipa Kodi bure labda Mungu afanye mapinduzi mengine mapya

ameniameni
Автор

Hiii nchi ni ya watu binafis Sana utadhani waliinunua wakiwemo na watu wake aya mama endelea kuteua

pendomarco
Автор

Sijuiii tunapo elekea Bado natafakari sipati jibu, ngoja tusubiri, kupanga ni kuchagua tukutane 2025 kwenye tathimini

reubenbegashe
Автор

Mwendazake alisema akuna kubadilisha uongozi anaenda nao wote awamu anayomalizia Ila mama kawabadili

msowamhokole
Автор

uteuzi kila siku kazihakuna khaaa!!!!

mymuamsrrr
Автор

Toka umeingia kazi yako ni kupangua pangua. Kazi inekushinda Wizi umerudi kila kona mpaka HAZINA watu wanajilipa mamilioni ya kodi zetu. 2025 sio mbali

ZMBjr
Автор

Saf Sana mteuzi hio ndio Kaz yako.toa wote wa magu weka weziiii

estermathias
Автор

Hataki kwenye utawala wake kiongozi wa mjomba Magu hata mmoja.akimaliza nahawa sijui wanafata kinanani

m.mmarckus
Автор

Atajua mwenyewe mama kuwa makini na nchi usiweke wezi

danielimeshack