#BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA MBUNGE LEO, ALIKUWA NI BOSI WA SADC..

preview_player
Показать описание
#BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA MBUNGE LEO, ALIKUWA NI BOSI WA SADC..

Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 10, amemteua Dkt. Stergomena Tax, kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania.

Kabla ya uteuzi huo, Dk Stergomena alikuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) aliyemaliza muda wake Agosti 2021.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwani mama yetu hakuna watanazania wengine wanaoweza kufanya hizo kazi? Sasa mtu ameshakuwa bosi na amemaliza muda wake, bado unaona haitoshi unampa na ubunge, wengine huwa wanataka kupumzika wanashindwa tu kusema kwa sababu Rais umemteua, gawa hizo riziki na kwa wengine ambao wana uwezo na utayari wa kulitumikia Taifa lao.

adeelhaji
Автор

Dah,
Kila mtu ana kazi anayoiweza I see, mama kazi ya kuteuwa anaiweza vibaya mno🤣🤣🤣

thieryniyonkuru
Автор

Namwomba mama wetu mpendwa amteue pia Hon. Ruth mollele kwani
Ni moja kati ya viongozi muhimu ktk taifa letu.

Please mum do it please you will never regret.

Thanks

josephmollel
Автор

Waliopo jkt miaka zaidi ya 4 wanasoteshwa ila aliemaliza huku anapelekwa kule,

augustinemchopa
Автор

JAMANI NA MIMI NITATEULIWA LINI ?NIONEENI HURUMA NINAUWEZO MKUBWA TU SEMA SINA NETWORK TU

kakore_jr
welcome to shbcf.ru