Baba Levo amvaa Mwijaku baada ya kusema Diamond hamfikii Vunja Bei kwa utajiri

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Baba levo ana akili Sana....kampinga vunja bei sio mwinjaku tuu

spearnyondo
Автор

Ukimsikiliza b levo kwa makini utagunduwa ni kweli, maana vunjabei hizi siku haonekani kbs

zaikokingnil
Автор

😂😂😂😂😂😂😂😂 hahahahaha, kichwa mviringo😂😂😂

JM-envu
Автор

Mwijaku na Harmonize Mzee Popo wanataka watu wasiendelee kimaisha... Anjella 😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

SifaEmma
Автор

Nae mwijaku anasifia sifia, WANAUME wenzake

jeremiahcharles
Автор

Hawa watu tuwache tu kichwa mviringo😂😂😂😂😂😂

chusseboywcb
Автор

Sns tupe story za ney wamitego mbona askiki 😢

issachibangu
Автор

Mwijaku anatakiwa mpango wakunyongwa kisirisiri mbwa huo

ImaniMsafi
Автор

Sns please mbadilike na content zenu mnaachwa na manara TV nyiyi nikituo kikubwa bundala vanya kazi ACA uvivu

RomeoBigirimana-ovns
Автор

Mondi Ampite Alikiba utajiri ndoaje aseme😂😂

N.F.classic
Автор

Kwahiyo..Yale maneno ya Vunjabei ya wapeni wanawake hela yamemponza?? Vidada vya Bongo vimempoza😆😆

BlackKing-lu
Автор

MWIJAKU ALIVOPATA AJALI HAKILI ILIVUJA KIDOGO

JellyRuba
Автор

🇺🇸Kama mtu analengo lake kwani vita
Kama unapinga alisho kisema nyenda mufanyiane hesabu 😂

AmericainWashington
Автор

Kazi ya chawa ni kukutafuna na kukupuliza kuwa Tajiri wa dunia 😂😂😂hivi sadala alikuwa amebwia asibuhi ile kitu yake maana hii ni majaabu

SalmaAthuman-hpen