BabaLevo amwaga ubuyu wote kuhusu sababu za DIAMOND kumfukuza MWIJAKU wasafi bet / ANAMSEMA TAJIRI

preview_player
Показать описание

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Uaminifu na upendo ni vitu muhimu sana katika haya maisha, Baba levo ni rafiki wa kweli kwa Diamond. There's no doubt about that. Much love baba leo& stay safe 🇳🇴

augustuss
Автор

Baba levo wewe uwaga unaongeya ukweli, ila mwijaku yeye anapenda kutembeya na upepo aijalishi ni kweli au siyo kweli, kwakweri ana kera sana

ibraimoselemaneibraimo
Автор

Yani ukipata Mtu kama baba levo mwenye mapenzi yakwer dhidi yadaimond nisafi Sana kwenye haya maisha, , ila baba levo namkubalig Sana yani, , , na baba levo anamkubali Sana Daimond safii, , baba levo nakajua kufiti kwenye nafasi yake Kwa Daimond safi, , mungu awatunze na urafiki wao, ,asikwambie mtu ukimpata mtu mwenye mapenzi yadhati na wewe kama baba levo Yani unaweza kumpa Kila kitu chako Yani, , , safi

jamilaathumani
Автор

Leo ndo nime amini kwamba wewe ni mtu mzima, baba levo ❤️❤️ ngonja ni ji unge kwenye comptes zako baba ❤️❤️

EddyEdgard-qd
Автор

Rafiki mnafiki hafai kabisa hongera Sana babalevo kwa kudumisha urafiki wako wa kwel kwa Diamond❤

DaudiMussa-xf
Автор

Huyu Jamaa yuko real Sana kwa Mondi🤝…Mwijaku mnafiki ndo maana anapapalika kwa kila mwenye hela

aliyumuhammed
Автор

Safi Sana baba levo uko na mapenzi yakweli wewe siyo munafki❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

channyanjen
Автор

Safi sana Diamond kumfukuza huyo shoga Mwinjamama 🤏🤏🤏

PalmaresseEnock-czdx
Автор

Mwijaku anaongea sana ila hana point anaongea mbaka anabowa hata kama ingekuwa ni mimi sidhani kama ungechukuwa hata wiki mmoja

marwajoseph
Автор

Actually mwijaku anazingua
Anazidish uongo

vitrahbongz
Автор

Baba levo mnamuona Kma mweu lakini anajitambua

saliieking
Автор

Sifa sio nzuri B Levo leo mwijako jana bodyguard na weye iko siku itakuwa weye

mussandikumana
Автор

Baba levo ana mapenz ya dhati kwa Diamond. Mwijaku anaongea bila point ya msingi

godymastermind
Автор

Baba levo ni kichaa ila kichaa anaye jitambua ila mwijaku kichaa aliye longwa ajitambui kabisaaa yeye ana angalia upepo una vuma wapi aende

AbdallahOmary-sdkw
Автор

mmesikia hapo sijui kama na Sallam… Sallam na Diamond kwishney..

mjanthony
Автор

Baba levo kukuba sana hata kama unatafuta ridhik lakin unaupendo wa kwel diamond yaan simbaaa namaanisha chibudenga

GetforMasehe
Автор

Baba levo kua mkweli bro, usije uka umwa waanze kutembeza kopo

djumadjumbe
Автор

mwijaku kuchwa kibovu
Kimeja maji musimpokee tena

KimbilimaSocial-dycl
Автор

😂😂😂😂 tulikubaliana tujifanye wehu lakini nikaona mwenzangu amekuwa mwehu kweli kweli 😂😂😂😂

MrTop-wjno
Автор

Tunatoka katika familia, malezi, elimu, ujuzi, maarifa, dini, ustaaarabu tofauti HATUWEZI KUWA SAWA, KUNAMUDA INABIDI TUHESHIMU HUO UTOFAUTI

mchumiajuani