BABA LEVO AMJIBU MWIJAKU KWA HASIRA /NAKUONYA SITAKI UNIZUNGUMZIE / BORA TUUWANE

preview_player
Показать описание
KWA UCHUNGU BABA LEVO AMJIBU MWIJAKU KWA HASIRA BAADA YA MWIJAKU KUTANGAZA KWAMBA BABA LEVO AKIPEWA KAZI HAIFANYI INAVYOTAKIWA TAZAMA FULL VIDEO HAPA
#manaratv #mwijaku #babalevo #wasafifm #wasafitv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaka yangu, Baba levo nakupenda sanda sanaaaa, , 💯 we, piga gazi angalia maisha yanaendaje uyo anayependa kurudi nyuma achana naye mungu akpe maisha marefu Pamoja na ndugu zangu manara Tiv, nawapenda sanaaa

samoramartin
Автор

We baba levo juzi umemnanga mwakinyo kwanini anachagua makampuni wewe mbona unakataa sikazi sasa siufanye😂😂😂😂😂

simonmalegesi
Автор

Baba sikuizi unayo pesa mpaka unalamba midomo 😂😂

mrrockboy
Автор

mwijaku nimlopokaji pamoja nakujion kua yeye ni mtu wa thaman lakini hajitambui mungu nifundi hawezi kukupa Kila kitu lazima utakua namapungu yko. shida hua anawazungumzia vibaya na watu ambao sio levo yake halafu hao hao ndio anaendi kuwaomba Tena kazi so mm hua namchukulia kama chizi asie juelewa

SaidHamis-hyps
Автор

Wewe baba levo kula maisha usijibizane na vibabu😅🎉🎉

FatumaShabani-mpvt
Автор

Mwijaku ni msenge bola ulivyo mkacha simkubari boya yure

FestoReonadi-kqkp
Автор

Baba levo uyo achana nae ata sisi tunamjua we piga kazi

chrispinrafael
Автор

Baba levo hapo ndo nilikuwa napataka mpige za uso huyo mwijako anaefake maisha aende tena ufaransa akawaongezee kunguni😂

fatmaabdallah
Автор

Kwenye mzizi wa formula ya maisha yangu... Dah!

verbalverbal
Автор

😂😂😂 yeye kaumia wakati na yeye ana wanangaga wenzake😂

chinowachatv
Автор

Acha uchawa wewe baba level jiamini mapua😂😂😂

FredChaki-jbzj
Автор

Hili jamaa hata halijielewi mwanzo kiswahili chenye hajuwi Bora arudishwe kwao Burundi hii mijitu mihutu migonvi

MohammedJaizan-yfyt
Автор

Piga kazi mdogo wangu wa lwama mtt wa urus au Saigon mi kaka yako brother wake said

jimmymwita
Автор

Nimekuelewa bro
Ruka naye ngwaluga huyo

chensigns
Автор

Mwijaku muache maana
Kichwa chake kimeja maji sana
Hakina hakili kabisa

KimbilimaSocial-dycl
Автор

Baba Levo tulia wewe siulimfukuzisha kwa Mondi Sasa kaa utulie

mariamalongo
Автор

Juzi tu ulitoka kuongea nini .... kuhusu mwakinyo na ukatoa mfano mzuri tu leo unongea nini ....hayo mambo mengine mtajuana wenyewe na majaku na ndio uone alichokua akikipambania mwakinyo....

cisselamerveille
Автор

Fahari wawili wakikutana ziumiayo ni nyasi , kwahyo Sisi tunafaidi Siri zenuu

piucomuga
Автор

Hili lijamaa lipumbavu sana

Alichokicrash kwa Hassan mwakinyo ndio kile kile anakiongelea hapo kumuhusu yeye na mwijaku

Aiseee baba level ajitathmini kwenye ishu uliyomuongelea vibaya mwakinyo kwenye kipindi chako

ibrahimjumbe
Автор

Waswaili usema gumi kubwa ufikiya mpambanaji kaka kaza mbona wata feli waho ninavyo kujuwa hawapati kitu kwako nakujuwa vinzur Sana

ulimwenguswed