Mwalimu wa Mtoto Jasiri aliemshtaki Baba yake Polisi kwa kuuza shamba, kaongea

preview_player
Показать описание
Mwalimu kutoka shule ya Msingi Ngundusi iliyopo wilaya ya Ngara Kagera, amemzunguzia mtoto Anthony Petro anayesoma Darasa la kwanza ambaye siku kadhaa alionekana kwenye mitandao ya kijamii akizungumza kumpeleka Baba yake mzazi kituo cha Polisi baada ya kusikia anauza sehemu eneo la nyumbani kwao.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwenyezi Mungu akubariki wote waliomshika mkopo mtoto huyu Millard Ayo Mungu akubariki sasa atupe amri marefu ngumu name afya njema wewe na washirika wako❤❤

RehemaMaluba
Автор

Mungu akujaalie rizki zakutosha#antony na family yako

alimaalima
Автор

Am watching this on YouTube.. From Kenya.. Millard God bless you..

risperladee
Автор

Umeniliza sana habar ya Anton!ila Mungu atafanya njia

ausykawina
Автор

Aisee, nimejushwa Sana na testimony za dogo. Kiukweli, Mungu aziwezeshe ndoto zake kutimia.

smwakaglobaltv
Автор

Miladayo ss mnatakiwa muanze kutupa taarifa au muendelezo wa maisha na mambo yanayojiri kwa huyu mtoto

emanuelmlay
Автор

Sometimes unaweza kujiona unashida unapitia wakati mgumu kumbe wapo watu wenye shida zaidi, dogo Mungu akutie nguvu endelea kupambana

conradjunior
Автор

Milard Ayo nataka email yako haraka iwezekanavyo au anzisha go fund Anthony Petro haraka sana tumnyanyuwe kimaisha kielimu kiafya mjukuu wetu neema hiyo katupa MMungu tusiiche jamani👌👍

hudhud
Автор

mungu amsaidie huyu mtt na familia yake kwakweli kanitoa machozi na kunipa nguvu serikal imwangalie sana hii familia

aishaahussein
Автор

Mungu, Jehova Gibor amshindie mtoto jasiri Anthony Peter

emmanuelbunuma
Автор

Haya ndo mambo yakuongelea yanayo gusa maisha yetu halisi na sio mambo yakijinga yakina mange mjinga

powerofchoice
Автор

Kwa kweli kuna watoto wana miujiza jamani umri wa huyu mtoto huwezi amini mungu akukuze kijana wangu

maryfelesh
Автор

Millard Ayo tunataja habari kama hizi sio wema Mara zari ma daimondi tunataka mambo kama ya Anton inayo gusa hisia za watu

mkamimatha
Автор

Kwa ugumu huo hata hiyo namba ya shuleni anajitahidi badoo!

marymarwa
Автор

Huyu mtangazaji yuko vzr sana anatangaza mpaka raha

paulswai
Автор

Nakupenda bure mdgo wangu Mungu akufanikishe mm nakuombeaaaa sanaaaa

esterluhwago
Автор

Mdogo Wangu atafika mbali sana nakuombea kwa Mungu akuongoze ....natuwe nahuruma tumsaidie Malaika huyu nafamilia yake

chiefandrewkidulile
Автор

I wish apatikane mtu wa kusaidia uyu mtot aise dh maisha yake yapo dun sana

miriamngosha
Автор

Wallah huyu mtoto nikama magu anajiamin hatari😘😘😘

noelammari
Автор

Atali kiumbe kama icho kinajali family kuliko kitu chochote Dgo mngu akubaliki sana

kwshabamwambagi