Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20

preview_player
Показать описание
Petro Magokwa ni mzee wa miaka 73, ambaye ndio Baba mzazi wa mtoto Anthony Petro kijana aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akizungumza kumshtaki mzee wake kituo cha Polisi baada ya kusikia anapanga kuuza shamba la nyumbani kwako.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Millard Ayo. Nifuatilia sana habari ya mtoto Anton. Nawashukuru sana kwa kuliibua suala hili kwa uhalisia na ufanisi mkubwa sana. Ukiwangaila wale watoto wengine, utaona kuwa wengi wao wana hali kama ya mtoto Anton. Hivi kwa upande moja mmeibua hali halisi ya maisha ya watanzania huko vijijini, ambayo bila shaka wenye dhamana na nchi yetu hasa Mh. Rais, kipenzi cha wanyonge watajipanga kukabiliana nayo. Kwa upande mwingine mmeibua vipaji vya mtoto Anton ambavyo vimenishawishi sana kumsaidia ili afikie malengo yake, ambayo yeye mwenyewe anayafahamu vizuri sana.It's so amazing!!! Ninaungana na kila moja aliyeguswa na hali ya maisha ya mtoto Anton ili kilio cha mtoto huyu cha kuhamishwa toka kule mbali na kupatiwa makazi bora, yaliyo jirani zaidi yafanikiwe. Mchango wangu: Mtoto Anton afunguliwe account maalum ili tulioguswa tuanze kumchangia na kuwashawishi wengine kutoa michango ili mtoto Anton akapate shule itakayoweza kuvitambua, kuvienzi na kuvilea vipaji vyake, kwa manufaa ya familia yake na taifa letu kwa ujumla. Nipo pamoja nanyi naendelea kuwafuatilia ili nijue tunafikia wapi na suala hili. Castor kutoka Florence-Italy!

SuperCamle
Автор

Mackini, inasikitisha sana, kwanza uyu Baba nampa pongezi pamoja na shida zote ajawatekeleza watoto wake, 😨😨😨😨 inauma sana, Allah hawasimamie katika kila zito.

saumuhassan
Автор

Millard Ayo mambo! Jamani nimeguswa Sana na hii familia! Asante Sana kutuletea vitu unique Kama hivi, umesafiri Hadi huko jamani! Nawezaje kuipata hii familia nkitaka kuisaidia japo kwa kitu kidogo

ilovejesus
Автор

Dah.. nimefuatilia hzi story z hyu dg nafamilia yke nimeona miujiza ya mwenyezi mungu. Emagine km hyu dg acngepewa akili alizokuw nazo na ujasiri hao dada zke wangekuw kwenye hali gn?. Baba yake anasema Anthony ndio baba yangu. Mtoto wa miaka 10 kuwa baba wa familia dah🙌. May Allah bless you boy 🙇‍♂️

seifsmg
Автор

😢😢😢😢Eeeh Mungu Gusa hii Familia na familia zoto Dunian zilizopo ktk mazingira magumu na hatarishi Gusa baba gusa🙏

happygervas
Автор

Hoooh Anthony anamwambia Baba yake, Baba sasa wewe nguvu zimeisha upumzike kulima, Hoooh ni Upendo wa ajabu kwa Mtoto Mdogo kuchukua nafasi ya Baba yake

waukweelinikkon
Автор

Big up mtangazaji, hakika kazi yako njema, sio Hawa wanaotuletea Habari za kina Hamorapa, sijui kafanyaje sijui uwoya, ... Cha msingi weka namna ili tuweze msaidia Dogo

emmanueljohn
Автор

Jaman kaka millad mungu akupe mwanga uzidi kuwafikia watu kama hawa be blessed

leticiamafuru
Автор

Uchungu jamani yaani huyo mtoto naiyona kesho yake yenye mafanikio makubwa.

agnesmchau
Автор

Oh my God. May you open doors for this family.

rosemarywanjiromugo
Автор

Huyu mtoto jamani Ana kesho Kubwa sana may God hear the cry of this innocent boy....it's so sad...watanzania fanyani jambo kwa hii familia

nzisakasau
Автор

Wow this is life..nawapenda sana wale watoto..imenigusa sana moyo wangu...wish could adopt them as my own..mola ampe nguvu babayao..na amuongezee siku zakuish duniani...

ruthotaba
Автор

Mungu wangu, I can we help the boy, from Kenya

leahwambui
Автор

am in tears, this is so touching though kuna true love iliyopitiliza in this family.

lucyaudax
Автор

Kweli unaezaa zaa watoto kumi n wote wakawa hai ilaa mmoja tuu ndie atakaekujalie

reemiiomar
Автор

Mungu ibariki hii familia... na ufungue milango ya ridhki kwao. Amin.

ibrahimmawazo
Автор

Unaweza sema nina shida, kumbe Kuna wenye shida kuliko wewe... Mungu asaidie huyu mzee na familia yake

tullalutumo
Автор

Allah akucmamie mzee wngu pa1 na familia yko, Kila kitu kinasababu naamini Allah kaamua kuptisha kwa hyo mtoto kwenda kukushtaki ili iwe sababu ya kupata nusra na wanao, mungu akutetee baba angu

salhaahmad
Автор

Dah# aisee eeh Mungu kaa na hii familia wasaidie kwa kila hali# eeh Mungu muangalie Hutu baba# umri wake sio wakuteseka# msaidie baba Huyu kwa hapo alipofika# nyumba nyumba# spate nyumba na sehemu nzuri# Amina

Jamani toeni namna tumsaidie Huyu baba#

petermim
Автор

Eeeee Mungu naomba uguse hii familia tena huyu mtoto Kesho yake iwe ya ajabu sana akawe bilionea nasikia uchungu sana

johnhenjewele