Saida karoli kereme (officel audio)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mm binafsi napenda nyimbo za saida na hakika hata kuja kutokea kama saida hakika mama umefanya watu kuona masic wa asili ni zaidi ya burudani kipaji hiki

sajojoseph-roo
Автор

Msambaa mmoja ambaye na kuelewa saida nyimbo zako sizielewi sana ila ninakusikiliza uimbaji wako Unanikosha san

AdmiringAstroStation-ussb
Автор

kereme mwenyewe ndio mim 😂😍 show some love to saida

clementinapaul
Автор

Saida wewe ndio unawakilisha asili yetu tunajivunia kuwa nawewe

francemayanja
Автор

Kweli siku azigandi sema ulitutambilisha na ssi bukoba

fridafrida
Автор

Kutoka tarime Mara Tanzania, Saida mi huwa nakukubali cana kwa nyimbo zako.

petersamson
Автор

Saida Kalori amanya kunyijukya halai.
Nanshubya owaitu omukanya kakei!

judithcostantine
Автор

nampenda saida coz almost kila nyimbo ake majina yangu yote yapo nyakato omlongo clementina😍 😁

clementinapaul
Автор

😭😭😭😭😭😭when I here this voice oooh my God bless my dada @saida karoli

EastOneDiamante
Автор

Hangiriza Agutamba Omukama wa Bunyoro Kitara!

jimmymuhangi
Автор

Unanipaga raha sana wimbo huu na hunikumbusha.mambo.mengi sana.!

davidseleguji
Автор

Da acha ibaki story mama yangu unanikumnbusha 2005 da miaka imeenda

sadickmigayo
Автор

Mimi ni msukuma lakini huu wimbo umenikumbusha mbali sana

yohananyabu
Автор

Safi sana Saida. Nyimbo zako nazipenda

comradejonasrwegoshoramwal
Автор

Hongera sana saida karoli, ningependa pia kuuona wimbo unaoimba omugoke nowa, omugoke na Tasimeo

kdfitness
Автор

Kereme alikuwa mvivu, hoo kereme okaba olimunafu

skywhite
Автор

Kwa ujumla Nyimbo za Saida zinamafunzo mengi ndio maana mala baada ya kuanza kujitegemea nyimbo za kwanza kuzikusanya zilikuwa za Saida.

renatusblandes
Автор

Oh Yes! ❤️ ❤️ ❤️...Much love Saida Queen!

annewachira
Автор

🇹🇿💕💕💕💕🙏👌nyimbo hzi niko mdogo sana nasikia had now

maryndullu
Автор

Sante Sana saida hapo ulijikunja kutunga

lamecknkila