Ismail Haniyeh aliuawa kwa bomu lililokuwa limetegwa miezi kadhaa kabla ya mlipuko – Ripoti

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mossad ni watu wengine kabisa wanapiga eneo husika tu nyumba yenye vyumba vingi wamelipua kimoja tu cha Haniyeh na wame mpata

robertgeofrey
Автор

Iranian njaa zitawaponza Sana mlinzi wa mapinduzi kapewa Biscuit kaingiza bomu😂😂

adiaygo
Автор

Mossad ni next level. Magaidi wajiandae kwenda kupokea mabikira huko peponi

MzeeKigogo_
Автор

Hapo Iran hawezi kuishambulia Israel hakuna ushahidi

tumainielmaruwa
Автор

Hii inaone udhaifu wailani kwamba hamuiwezi israel

emmanuelsunday
Автор

Mtasema kila njia ila ukweli ni kwamba islaeli ndio walimua rais ibrahimu na kiongozi wa hamasi

hamidamussa-syfm
Автор

Bomu limetegwa miezi kadhaa sasa walijuaje kama jamaa ataenda kukaa kwenye hiyo nyumba?!! Na hiyo nyumba ilikuwa chini ya ulinzi wa kikosi cha IRGC 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

mamilafx
Автор

Israeli akili Mingi wanakusoma hadi siku ya kukuua utakuwa umekula nini

abdulrazack
Автор

Huyu rais mpya wa iran i wa kuchunga sana maana dj sma alisema anahusiano na magharibi

TheReporter-A
Автор

Yaani bomb limewekwa kwa muda mrefu hivyo😂😂😂😂😂 na walinzi wapo

absm
Автор

Vita vinaweza kuondoka na yyte yule

Wahun wameweza kum-attack Hadi Trump ndn ya Amerika ni vile zake tu bdo zipo, seuze Hanieh

salehkhalfan
Автор

Imagine mgeni anauliwa chumbani kwako, utaeleza nini watu?

YamunguMatamya
Автор

Hawa wameamua kutuonesha kua wanatuweza ukigundua kua mtu kakushika tako anaonesha kua kakuzoea sana bila wew kujua unatakiwa umkande ili ajue kua hutak mazoeya wazayuni mpaka sasa wametuzoeya vyakutosha

AFRICA_D
Автор

akili ya israel ni kubwa WANACHOFANYA NI KUWATUKANA, KWAMBA HATA WANAORIPOTI KUA NI DRONE PIA HAWANA AKILI KUWAZIDI

hazygardmericho
Автор

Yesu mwenyewe walimtegea bomu msalaban miez miaka 7 kabla sembuse Huyo wa miezi 2 tu, wayahud hawafai ndo mana had mji mkuu wa mashoga upo inchin kwao chezea wayahud ww

HawaBakari-uq
Автор

Ukweli huwo kbsa...hawangeli weza ki muuwa...

PatrickKagiraneza-okcw
Автор

Kwa hiyo hakuna kiongozi au mkuu aliewajibika kutokana na hilo tukio?!!! 🤔🤔🤔🤔🤔

mamilafx
Автор

Iran inakazi kubwa ya kufanya ya kufumua mfumo wote wa Interejensia kuanzia Kitengo cha mkuu wa Usalama wafanyakazi wote wa Ofisi ya Mkuu wa Usalama wa Taifa. Bila hivyo Iran iko hatarini.

hemedmwipopo
Автор

ila mpasha habari napenda sana sautiyako kbsa.

PatrickKagiraneza-okcw
Автор

Kwani Iran 🇮🇷 intelligence agency yao mbona ina lala sana na bwebwe zote hizo ila Bado wanachukulia mtu wao hosari

patrickjerome