KIKONGWE (( EPISODE 12 ))

preview_player
Показать описание
#DOKO #KIKONGWESERES #snake
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

DOKO uache kuchelewesha bana, , , one love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

sabchke
Автор

Doko katika movie sote zimevunja record Tanzania nzima hii ni Moja Yao, tupo KENYA ila tunaenjoy kazi nzuri sana mko vizuri

johnosoro
Автор

Safi Sana Dada kwa majibu mazuri nimekupenda Bure chukua maua yako 🌹🌹mpende Sana mfinyanza

soldd-xzue
Автор

Hongereni sana kila siku mnazidi kuongeza vitu vizuri, safi sana kwa picha ang'avu Full HD...

stivenkhanga
Автор

Nmeikubali hii episode ya kikongwe nmeikubali sana it is unpredictable you can't predict what is next big up Kwa ubunifu mzuri na mawasilisho mazuri. Kwa hakika this movie is best of all💐💐💐💐💐💐

johnmaroa
Автор

Mh kweny mpila mmenzinguwa San jaman et simb ya kuchukuwa kombe la lig 😂😂😂😂😂

fedyhd
Автор

Hatimae leo nimewahi jaman ahsante kwa movie pendwa

SeiphMkwizu-ized
Автор

Nampenda sana mfinanga na bi kikongwe ❤😂😂😂😂😂😂

SophiaUhuru
Автор

apo fresh kabisa, mnatimiza malengo yangu.

SalumuSabasaba-hgnu
Автор

Mbona atuitani team furus team WiFi team Dogo sijapenda aya tusalimiane team kupambana kazi kazi

zainaabdallah
Автор

namkubali Recho anacheza mchezo kwa akil

giftelinazi
Автор

Nyie mnajuwa saana tena saaana mungu awatangulie katika kazi yenu ❤

ANGELMAJUTOMAJUTO
Автор

Top directly from Kenya, , , naomba likes jameni, , , mfinanga to the world

Reuben-rmnb
Автор

Kamote umepigaje hap Kwa mchumba kamote alikuwa na nyenge jingi San kama kigongwe na kamote weupe kama sanda 😂😂😂 hatarii mama doko kishaliwa na mfinaga kweli zuwena na pia n kamote huu🔥🔥🔥🔥🔥

MwanaMwana-wzol
Автор

Mimi wakwanza APA kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zenu jamani

josephswana
Автор

Kazi kazi mjomba mfinanga, doko Sonia💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🙏🙏🙏

MoTalentTz
Автор

Kikongwe inazidi kuchemka ...Doko utatii Reachal

NillyNilly-fmpw
Автор

Mimi napenda kazi yenu sana...🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪

bramwelsituma
Автор

Macho yako kasura ata kasauti amazing njoo usukumani nikupe ngombe

josephsananga
Автор

Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

aganzeroger