kikongwe season 2 episode 2

preview_player
Показать описание
Katika kipindi hiki cha kusisimua cha Kikongwe, jiunge nasi tunapoangazia Matukio ya kufurahisha na ya kusisimua ya wahusika wetu tuwapendao. Wiki hii, Doko na Chawa wake wanapata Majukumu mapya katika Jiji waliokimbilia,Je Joker ataendelea kuwapa Majukumu ? ! Tarajia kutamani, kicheko, na baadhi ya mambo ya kushangaza yasiyotarajiwa wanapopitia changamoto za maisha kwa haiba yao ya kipekee. Iwe wewe ni shabiki wa muda mrefu au mpya kwa mfululizo, kipindi hiki kinaahidi kuleta tabasamu usoni mwako. Usisahau kulike, kucomment, na kusubscribe kwa matukio mengi ya kusisimua kutoka Kikongwe! #Kikongwe #season2 #ComedySeries
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

HAYA SASA NDUGU ZANGU TUKIFIKA COMMENTS 500🎉🎉 TUNAACHIA EPISODE 03.

DOKO
Автор

Hahahahaaaah! Hii noma sasa mwamba kamuona dadayake! Alf mbaya Zaid hajui km walikuwaga mapacha.

nasibuomary
Автор

Jaman team doko kipara ingwe muna mbwembwe ndugu zangu mubarikiwe

MariamMchomvu-qs
Автор

Kazi nzuri sana mnaubunifu wa kitofauti sana tunasubiri ep3

glorysanare
Автор

Sonia wadekaaa😂😂😂 "ati huwez lala pekeo" veeee😊😊

aishaomar
Автор

Kitawi ndege sialikufa au wali zaliwa mapacha😅😅😅

Mwanaishasaid-qx
Автор

Toka kongo tena 🇨🇩🇨🇩 doko kiukwili unadjuwa kazi una akili mingi saaaana nme wakubali sana🎉

SadikiGENTIL
Автор

Mzee doko kwani hiyo ngoma ya kikongwe ameimba nani song hiyo naipenda sana

Muslim-nw
Автор

Filamu nzuri sana bila Shaka sitachelewa kutazama.mimi mkenya nikiwa nchini uturuki

VincentObwocha
Автор

Mm nmefrahi kuona Sonia kapona ❤❤❤twende kazi Doko unajua hadi unakera 😂😂wenye vipara hatuchekeshi

gseh
Автор

Watching all the way from Saudi Arabia naona Sonia amevaa bendera ya Kenya mkononi naomba likes 🎉🎉🎉

shebehomary-cmbt
Автор

Ila dok jmn umejua kua makini kwenye kucheza jmn mpak naogop🤣🤣😘😘😘😘

NdikumanaInnocent
Автор

Nime miss doko katika ubora wake oya weee

EltadeoraSocratetadeo-ze
Автор

Kazi mzuri sana big up Doko aya team furus team kupambana team WiFi team you tube tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🔥🇴🇲

zainaabdallah
Автор

Oya doko gotea huyo brzaza wa kenya❤❤❤

Tinahtinash
Автор

Doko kazi poa leta ingine nione dadako

JosephineMomanyi-jptv
Автор

Namkubali mfinanga muzagamuaji😅😅🇨🇩🇨🇩🇨🇩

Kmpshowpatient
Автор

Doko umekuwa chawa au bodgad😅😅jishikilie basi😅😅

AllyBabu-krlg
Автор

Mufinanga namupenda warah anatisha kbx anajua kuigiza saana

marremarre
Автор

Doko safi sana tena napenda iyo mim! Shabiki yako naitwa grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade

GrandePiquiGrande
welcome to shbcf.ru