Foby - Kitanda Ft Karen & Ibrahnation ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
#Foby #Kitanda #Karen #Ibrahnation

Audio produced by C9 KANJENJE
Video directed by Hanscana
Lyrics & Melodies by #Foby

For more info ,Email

For calls - +255786 85 47 32

MY ALL VIDEOS 👇👇🔥🔥

___________________________________________

*Foby Ft karen & Ibranation - Kitanda Lyrics*

*Verse 1...*

*Foby*

Kama ni adhabu tu
Inatosha nishajifunza

Inua macho juu
Yafute nisamehe

Au ngoja niondeke tu
Yakiisha utanijuza

Mana kunakoendea
Nahisi utaniuwa

*Careen*

Sasa unaenda wapi lakini

Au ndo unarudi tena
kule umalayani

Hayajapowa Rohoni

Unataka tena
kuyapandisha kichwani

*Foby*

Nitakaaje na mtu haongei

Wala makosa hayatambui

Sura yako hainiongopei

Acha tu nichape lapa

*Careen*

Nikulazimishe kubaki
we ni nani embu kwenda huko

Mtu mwenyewe huna hata kitu ndani

Unachotegemea
Kitanda x 2

We unategemea
Kitanda x 2

*Foby*

Mbona mi sitegemei
Kitanda x 2

Sijawahi tegemea
Kitanda x 2

*Chorus...*

*Foby*

Unataka
Sema unataka iweje
Kama maneno hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege

*Careen*

Mi nataka
Nijue unanichukuliaje
Kunichanganya kwenye gongo nami bia hilo unalionaje?

*Verse 2...*

*Ibrahnation*

Tangu asubuhi
Nawasikia tu

Ugomvi mavurugu
Yanarudia tu

Mnampa faida nani

Usiri wa ndani
Wajue mpaka majirani

Mbona sisi ni wapangaji
Wenzenu tunagombana

Ila yanaishia ndani

Kimya kimyaaaa!!!

*Careen*

Hayakuhusu baba
We rudi nenda
ukapambane na yako

Umeruka vyumba saba
Kama si umbeya ni nini

*Foby*

Unawajibu watu vibaya
Huna hata haya
Unajikuta we ndo kidunchaya

Na siku yakikukuta
Sipo utamfata nani
Mana kila mtu ushamsutaga

Nitakaaje na mtu hajitambui
Hajui mwema hajui adui

Sura yako hainiongopei
Acha tu nichape lapa

*Careen*

Nikulazimishe kubaki
we ni nani embu kwenda huko

Mtu mwenyewe huna hata kitu ndani

Unachotegemea
Kitanda x 2

We unategemea
Kitanda x2

*Foby*

Mbona mi sitegemei
Kitanda x2

Sijawahi tegemea
Kitandanda x2

*Chorus...*

*Foby*

Unataka
Sema unataka iweje
Kama maneno hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege

*Careen*

Mi nataka
Nijue unanichukuliaje
Kunichanganya kwenye gongo nami bia hilo unalionaje?

*Foby*

Unataka
Sema unataka iweje
Kama maneno
Hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege

*Artist - Foby,Karen & Ibrahnation*

*Producer - C9 kanjenje*

*Studio - C9 Records*

*Melody & Lyriscs - Foby*

*Thanks God*

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "Foby ft Jay Moe - Tuliachanaje (Official Music Video) | 2024 Rease"
-~-~~-~~~-~~-~-
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 nimekaa zangu nikaingia tu kuangalia...Amin uchawi upo haki vile mpk sijui nimejisikiaje kuna watu wana majina ukiwakalisha na uyu mngoni wanakaa sema sijui mziki wetu una nn yaan daaahh mpk najisikia kutukana mtu anajua afu sapoti hapew

shamshurdinioneashamdayzo
Автор

Wimbo mzuri sana, sema ndo hivyo bongo wanadunia yao

peterdamiano
Автор

Hii Ngoma haikustaili kuwa na views wachache namna hii, bonge la Ngoma every day naisikilizaga

alexelieza
Автор

Kwanini umeifungia iyo nyimbo aichukuliki naipena sana.tafazar

matolaassane
Автор

Huu wimbo ungekuwa mali ya WCB ingekuwa mbali kweli, mziki wa bongo bana

_Didas
Автор

Bro unajua sana sijui kwann viewers wchche hivi ❤

ofvtyck
Автор

Courage bro, love a good music from Congo, piga like zangu tufamiyane

bienkorais
Автор

Nyimbo kali sana nampenda pia malkia kareen ❤❤❤

mtaalamu_
Автор

My favourite song all the time ❤2024 mwez wa 4 nimeamka nao Leo❤️

vurdkug
Автор

Foby bro u rock 🔥🔥🎚🎙🇺🇸🇹🇿welcome to Texas-Houston bro

samytexas
Автор

Unawajibu watu vbaya daaa ....mmetisha lakn kwer vzur avipew nafas kabsa

nasrihanya
Автор

Ngoma safi sana bado inaishi sana kama ya jana🇲🇿🇲🇿💪🏾

omarmazoka
Автор

Mapambano yaendelee jaman, tz, 🇹🇿🇹🇿 we are blessed with alot of talents

alipoltosaninga
Автор

Daaaa goma Kali saana Ila nashangaaa mbona namba hazitembei duuu Ila keep up blood unaweza saaana an

starniceofficial
Автор

Uko vzriii brooo nice voice iyoo ndo inaitwaaa kutamu

hongerabarnaba
Автор

Nikulazimishe kubaki kwan we ni nani🤗🤗

bcmvqct