Foby - ng'ang'ana ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
#Foby #Ngangana #Muziki #Africa
Artist - Foby
Audio producer - s2kizzy
Video director - Noster
_________________________

For more info ,Email

For calls - +255786 85 47 32

MY ALL VIDEOS 👇👇🔥🔥

Foby - Ng'ang'ana Lyrics

Verse 1...

Baby kipi unachotaka
Shape macho umevipata

Sura ngozi vimewaka
Kipi ambacho
We hujakipata

Baby kipi
Unachotaka
Shape macho
We umevipata

Sura ngozi
Vimewaka
Na urembo
Ni kuwa unachotaka

Haya nimekupa kipaombele
Ila naomba baby usinikere

Dunia yenyewe mpwede
Utaringa leo kesho kengele x2

Chorus...

Ng'ang'ana

Umapohisi
Unapata mapenzi

Ng'ang'ana

Kuna wenzako
Hayakauki machozi

Ohh!! ng'ang'a ng'a
Ng'ang'ana

Ohh! Ng'ang'a ng'a
Ng'ang'ana

Verse 2...

Do like i Do
Shake like i Do
Do like i Shake
En'll Shake like U Do

Usawa huu
Simama dede
Nyonga ninyongee
Ukidema jichenge

Ndo mana
Unaninogeaga sana
Nikikutazama
Naskiaga haya

Haya nimekupa kipaombele
Ila naomba baby usinikere

Dunia yenyewe mpwede
Utaringa leo kesho kengele x2

Chorus...

Ng'ang'ana

Umapohisi
Unapata mapenzi

Ng'ang'ana

Kuna wenzako
Hayakauki machozi

Ohh!! ng'ang'a ng'a
Ng'ang'ana

Ohh! Ng'ang'a ng'a
Ng'ang'ana

Bridge

Baby baby h!h!h!!!
Ng'anga'ng'anaaa
Nah! nah! naah!

Baby baby h!h!h!!!
Ng'anga'ng'anaaa
Nah! nah! naah!

Artist - Foby

Song - Ng'ang'ana

Producer - S2kizzy

#tetea_mziki_mzuri

Thanks God!!

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "Foby ft Jay Moe - Tuliachanaje (Official Music Video) | 2024 Rease"
-~-~~-~~~-~~-~-
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 bado nakubali zigo hili.Fobby. kali sana brother 🤛👏

philljombs
Автор

Naomba uniruhusu ni toe cover ya video ya wimbo

jubatv
Автор

Fobyofficial
NG'ANG'ANA
765 viewers 1month Ago

ibravoncreator
Автор

Kaka shabiki yapo namba mojaa hakikaa unaandikaa broo

godfreymashaka
join shbcf.ru