Malkia Karen -Tunaendana ( Official Video )

preview_player
Показать описание
#MalkiaKaren #Tunaendana #SlideDigital

(C) Slide Digital
Malkia Karen Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Malkia Karen

Follow Malkia Karen on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nilijuwa Nani yule anajiita Tanzania princess nandy kumbe mtoto wa binti machozi big up mamdogo ulimlea vyema

husnajohn
Автор

Wimbo mzuri, binti mzuri na hajakaa uchi km wale, jamani mziki c lazima watu mkae uchi.

tedymwandara
Автор

Moja ya nyimbo zilizonisumbua kuitafuta mtandaoni maana nilipoisikia tu clouds nikawa naandika, #nandy tunaendana# kumbe nilikuwa nakosea kazi nzuriii saana unaweza kumuimbia hata #baby# akaelewa

samsonmgeni
Автор

Sielewi Kwanini Malkia Karen Hatoboi. Nyimbo Yangu Kila Ninapovurugwa.

drcezzane
Автор

Promote mziki wako Dada;salute sana toka Kenya.

oscarbiutah
Автор

Kitambo sana tangu ulipo shirikishwa na Dully ktk wimbo wa Tata adi leo umekua bibi...

abdulwakilranda
Автор

dada upo unakipaji sio mchezoo toka ninazaliwa sijawah kusikia mwanamuziki muimbaji mzur kama wewe wadada wajipange hakuna cha nandy wal ruby wala vmoney wala maua wewe

mpoleofficial
Автор

Nasikia u lady jay dee kwa mbali hivii

DrNyamwiMSMD
Автор

Umeanza vizuri DADA yangu
Epuka ya kesho na kesho kutwa
MAY GOD PROTECT YOU👨‍⚖

akimmbwego
Автор

we mtoto unabalaaa, hii ngoma unweza kulipia posa ukweni

mirajimwango
Автор

Hakiya mungu nilijua huu wimbo ni wa nandi

elizamassawe
Автор

Waooo kanasauti nzuri halafu kanafanana na babake Gadner

aidanwilliam
Автор

sauti karen hadi inaumiza....unatesa jamani....your new fan from 254🇰🇪🇰🇪

shiksshiks
Автор

my favourite song huwa naenjoy sna nkiisikia hii track big up Ringtone na Karen mmetisha SNA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

blacqboy