MAJI YA SIKU SABA NI KIBOKO YA MATATIZO YOTE.

preview_player
Показать описание
Maji yaliyoombewa na Mtume Boniface Mwamposa (Bulldozer) yanawafungua watu kila siku.

#ariseandshinetanzania #2021mwakawaimani #mwamposalive
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

BWANA YESU KRISTO MUNGU mukuu mwenye nguvu mutenda miujiza apewe sifa Sana kwa kuwafungua watu wake sifa zimurudie YEE KRISTO YESU MUNGU mukuu shalom

immanuelndagijmanae
Автор

Mungu nitendee nipate mafanikio kufunguliwa katika maisha yangu

salamaseifu
Автор

Najiunganisha na shuhuda hizi binti yangu uzao wangu wa kwanza afunge ndoa na mwenzake uliye mkutanisha naye ee Yesu naamini kwako kila kitu inawezekana Amen

mamamikuwa
Автор

Mungu naomba unitendee mume wangu arudi north mara baba

DeborahMatiko
Автор

Amina nami najiunganisha na madhabahu hii yesu naomba uniponye

lightnessseifu
Автор

Asante baba mtume Boniface buldoza mwamposa endelea kuhudumia watu mungu akubariki Sana baba🙋💯💯💯😍

danieltoroka
Автор

Kwamajina naitwa alfonsina izack Niko mkowa wa Morogoro mjini na muomba mungu Kila ninapo sikikiliza. Ushuhuda wawatu nami bwana yesu akanifungue na kunitoa kwenye madeni nanikajenge kiuraisi na Nika patemume aliye kuwa dahihi mtumishi

alfonsinaisack
Автор

Mungu miguu yangu ipone na uchumi wangu na uchumi wa mume wangu

mathamwambuluma
Автор

Yesu namba nitendee na Mimi kwa jina la yesu

miriummbisse
Автор

Mungu naomba nipone namtot wangu awe na afya njem

JacklineLazaro-xkqh
Автор

Naomba kupitia ibaada hii mme wangu mtalajiwa pascko anitamkie kua Nia yake ni kunioa kwa jina la yesu

Odethaaloyce
Автор

Mungu naomba ukanifungue, ukabariki uchumi na masomo yangu, ukawabarik wazazi wangu na ukawafungue wadogo zangu kupitia madhabahu hii ameeen

hawaclever
Автор

Ee mungu mwema baba wambinguni nakuomba unipe nguvu nabidii kwenyeutafutaji wangu niwenze kuwanabiashara yenye maendeleo mengi namakibwa ee mungu wangu nisaidie baba amina

emiliekapile
Автор

Mungu naomba nipo kwenye madhabau haya naomba mama kesho aende hospitali

imanfingulu
Автор

Mie kwa manjina naitwa mercy mwende toka kenya baba mie yangu ni siku ya kwanza nlipo anza kufatilia channel yako hio siku jioni mahali nauzia baba kuamka hivi wateja wangu waliniita wakanambia fanya huyu hapa amekupa nkashangaa hi hii ndo nini kumbe ni kitu yenye ilikua inachukua pesa zangu cox nko namiaka nyingi sana nkieka stock fanya anakuja stock inaisha nasina pesa, kweli mtumishi nmeona mkono wa bwana...

tonykonki
Автор

We yesu mwezi huu wa pili ni mwaka wangu wakubeba mimba na kuzaa. Nimeangaika ndani ya ndoa lkn heee mungu fungua kizazi changu nikapate kicheko wamenisema wengi lkn we ndio Kila kitu kwangu

annastaziaakyo
Автор

Nabariniwa Dana na madhabau ya arise and shine

neemamuagama
Автор

Nami katika siku hii naomba nikakombolewe mm pamoja na familia yangu bila kumsahahau dada yangu Mungu akamtoe katika ulevi akamkomboe Amen

agnesssimba
Автор

IPO siku na Mimi nitapanda kiuchui nitakaa nyumba nitakuwa na mashamba makubwa na nitapata watoto wa kizungu watatu au wawili 🙏 hii naamini na wazazi wangu watafunguliwa kiuchumi na tutakombolowa Mimi na family yangu na tutakuwa na amani na Baba yangu atafunguliwa kiuchumi na magojwa yote yatatoeka katika maisha yetu🙏🙏😭

lilywei
Автор

naamin na Mimi ninapokea watoto mapacha Amin

anithamsery