Aslam Tz - Tukutane Mwakani (Visualiser)

preview_player
Показать описание
Aslam Tz - Tukutane Mwakani (Visualiser)

Produced By : Moby
Mixing & Mastering By : Cukie Dady

Follow Aslam Tz on:

Listen to Aslam Tz

The official YouTube channel of Aslam Tz Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More

Copyright ©2024 Aslam Tz All rights reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mim sio wa kwanza Ila Kama unaamin mwakani ni mwaka wako weka like ap na comment ❤️

TozzyMselaa
Автор

Ngoma Kali sana na Messege Tamu sana Wallah ❤❤❤😢..Wale ambao wanaamini mwakani Ndio mwaka wetu, Gongeni like apa👊😒🤲

chagaboy
Автор

Kama unaamini Aslam tz anatupanga kama alivyofanya Dayoo kwenye huu mwaka, weka likes tuendelee kupambana bila motivation ya nyimbo zao 😂😂

HonestBway
Автор

kama unaamini mwakani tunatoboa gonga like

suyaabdallah
Автор

Wanaosema hili goma limefunga mwaka tukubalianeeee kwa like

manytz
Автор

Hiii ngoma umeupigaa mwingi najua kuna baadhi ya mashabikii walikua awajakujuaa ila hili goma likipigwa popotee lazimaa wakujuee eeeh tukutane mwakani 🎉🎉🎉

samwelimpika
Автор

Hii ngoma tuipeleke ifike ata 6 on trending mwamba kaupiga mwingi sana tajiri mwakani

AthumanbonyeBonye
Автор

Niko Burundi hii Ngoma ni kali saan ❤❤ tukutane mwakani 🎉🎉🎉🎉🎉

BonheurNduwimana
Автор

Wale tulio toka kwa chino kidd dio tume kuja huku tujuane hapa Kwa like goma Kali sana 🔥

JEANS-TZ
Автор

huu mwaka ushakuwa mgumu ila mwakani ni mwaka wangu inshaallah

SidatiSaidi
Автор

Alaaaa...hili goma mko wapiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

princemesh
Автор

Hapo kwenye tuombe Mungu Sana hakuna kinachoshindikana tupo pamoja ❤🎉

lamourvivantenterprises
Автор

Huu mwakaa sio wangu kabisaa anii me wakukosaaa hata bukuu kweliii😢😢😂😂 oiyaaa aslam hilii dude ni nyokoooo✊✊✊

Pre_Ten_nine
Автор

Hongera naona umeanza kuingia trending, mdogo mdogo tu

teddysananga
Автор

Wakwanza Leo Aslam
Mabaharia TUNASEMA MWAKANI 🔥🔥🔥🔥🔥

cadarclever
Автор

Kaka Mungu atakusaidia sana utafanikiwa me nakuspoti sana

SimonMtoi-jl
Автор

Huu mwaka🙌 ila mwakani lazima eshima yangu nipewe

MagesaJunior
Автор

Daa we dogo nikujikaza kama mwaka huu wa kufos 😂😂😂ile nyimbo ilinpa kiburi aisee 😂😂 ila mwakani aisee lazma kiumane ❤❤❤❤❤

DeboraMwasweba-ijqf
Автор

Oyaaa mwamba kaza una weza komaa, Aslam

GoodluckNjau-kmym
Автор

Sana Yani kaka jisi ninavoiskiliza paka namkera bos wangu

AsiaMsambi