Aslam Tz - Hanipendi Tena (Performance Video Lyrics)

preview_player
Показать описание
Hanipendi Tena by Aslam Tz

Hanipendi Tena is OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Follow Aslam Tz on:

(C) 2024 All rights reserved Aslam Tz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unamkubali Aslam mwaga likes nyingi hapa

silverboytzvevo
Автор

Kila nikiisikiliza hii nyimbo inanitoa machozi😢😢
Jamaa amezielezea hisia zangu za kweli kwa mtu🎉🎉

edwinplatnumzjr
Автор

kazi imesimama hii mzee mpaka umepata coment yangu kesho we ni star mzee baba

RashidMatanga-njqp
Автор

Nyieee kuna watu wanaimba yaan namutukio tulionayo yaan unasikiliza nyimbo hadi mwili unasisimka🎉

issahamissiissahamissi
Автор

Kama unampenzi Na anakusumbua, weka saini hapa🎉🥳🎉🙌

nexiebeatz
Автор

Nija hii imeenda i promise nipo tayar kukuandikia story kwenye video na kujufanyia video king free kaz nzur 🫡🫡🫡

ClothingTv
Автор

kama kuna zaid ya asilimia mia basi ningekupa zote wee my broo bad writter salute ✋💎💎💎💎

silvercashtzbundi
Автор

Uyuu jamaa apatee kolabo na mbosoo mapemaa snaaa uandishii wakee na kirungii itakuwa bonge moja na jointii

zakayodismas
Автор

Kwani ni mangapi nilo fanya ama sikutenda jemaa ur talented aslam may god protect ur voice

PreviousSamende
Автор

aslam unajua sana....uko serious sana na uyo producer wako mshikilie coz anakupatia, kuna cku kina marioo watakuhofia

godfreychaula
Автор

Nakuona mbalii sana mwanangu aslam ulipotoka naulipo fika mungu atafungua milango tu

masudyomary
Автор

Mtunzi wa huu wimbo nimjue jamani eeee kanimqliza mim ❤❤❤❤❤❤❤❤

MpajiAbdalla
Автор

Daah huyu kk apewe mauwa yake Mungu amzidishie InshaAllah

mwakirenjeomary
Автор

Tz wasanii weng sana sijui kwann wengne hawasikk jamaa mkali sana uyu🤝💯♥️👏

TibihikaGerad
Автор

Mbona ngoma haipand kwanin wa tz hatupend mziki mzur 😢😢😢

PreviousSamende
Автор

Upo vizuri dogo nimeona wanakupromote Kwa tv❤

ibrahimkasim
Автор

Wewe unafaa collabo na jay melody, , , juu hiyo sauti yako ni noma Sana kaka, , , , from kenya much love

FelotellyOtieno
Автор

Sanaa ni ujuzi bro, unajua sana tu naaona kesho yako nzuri nakubali

alhajhussein
Автор

Jomony nyie mm nampenda uyu mkaka Yani acha tu 😢😢

zainabngesa
Автор

Umewezaa ni wa moto ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

KikubaRamadhani