TOXIC FT KONTAWA - MWAKANI

preview_player
Показать описание
Vitu Vinavyokuja Mwakani

Producer - JayDrama
Director - Billy lenz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

"Mwamba amehonga Kila kitu ila amebaki na kikohozi" Aliye iskia gonga like hapo🤟🤟🤟🤟

alfredbizimana
Автор

Wanangu wa TOX tujuane kwa like jaman 🔥🔥🔥🔥

jordanjonas
Автор

Ndio mwaka tunaumaliza Ivi..Kheri ya mwaka 2024 wanangu, ila kweli kuna watu kibao mwaka wameshindwa kuumaliza, ukiwa mzee gonga like tukimshukuru Mungu

salimally
Автор

Ewaaa nimewai nipen like zangu twende sawa

dikaboy
Автор

Kuna watu mwakani siwaoni🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Konga like twenzetu

hassanidrisankingilea
Автор

Dah" kuna watu siwaoni mwakani" 🥺, so touching 2023 imetisha mapema sana. Well done Toxic&Kontawa👏👏❤️❤️

roselaremigius
Автор

Mad combination..Kontawa is at the peak of his career.. much love and blessings from KENYA 🔥💯🙏❤️

willinjowritter
Автор

Hii ngoma imetiii sana🔥🔥moja kali tutaonana mwakani, nipateni Kenya🇰🇪🌴👌

killergravityyt
Автор

The finishing part of Kontawa is so Touching

ommymsomi
Автор

Hahahahaa Wale waliokua wanatembea na umeme alafu home Wakakosa LUKU ndio hao mwakani HATUWAONI daaah 😥😥

hdboytz
Автор

Daaah aise bongelachupa mwishon limetak kuniliz daah acha tuangalie mwakan itakuwaje

johnpresdar
Автор

Huu wimbo unatakiwa uwe katika top 10 trending tukutane mwakani one love kwa Toxic

Addinjr
Автор

This masterpiece deserves more than 100 millions views 🔥

biana
Автор

The message is delivered...
Nahsangaa kwa Nini mama hashtuki...mzee Makmb, jmk...wanaarib nchi in shadows. ...Kuna mda nataman nipate bolm afu nimpoteze yaan ni maumivu...Mkopo nastahili sababu natokea familia duni...lkn watoto w matajir ndo wanawekew 100%, si hapo tu..deni lao kwa taifa saa hii 91 trillion, afu wanasema ni deni la taifa ...mi sielew...vx wanatembelea tena sauti ya mnyonge haisikilizwi...ni hofu zimetawala juu ya kesho yangu..maana mi ni kijana 24 yrs, najua naweza kupotezwa ila ...viongoz funguka bas....kifo kipo tu, behew mnaleta mtumba kama vile mnavaa mtumba yaan, si kwa mabaya ila kumbuka Allah yupo, tulitoka mavumbin na mavumbin tutarudi

girah
Автор

Broo una ticha sana tuko pamoja broo ❤❤❤❤❤❤

justinmuna
Автор

Oyaaaa wajomba mnaona far kichizi
Cause mi mwenyewe kuna wana siwaoni

josenaphmwara
Автор

kuna watu mwakani siwaoni....my best line😢😢

abdulali
Автор

Kontawa kaimba kidogo ilq kauwa kinoma salute tawa minachekaga sijaisikia kaka

dinocentmgani
Автор

Kama Unakubali #Toxic Ndo Mbadala wa Stamina Nipe Like Zake Hapa #Mwakani

officialmoody
Автор

mm sio mpenzi wa hiphop, daah mi naanza kuipnda hip hop leo sio tena kiufupi kwny hii ngoma kila mstar una neno moja au zaid kanye ujumbe mzito unaokisi maisha halisi ya hapa tanzania, hawa vijana wajengewe sanamu zao pale nyerere square, serikali iwanyanyue kimanagement nasio kuwaza kuzifungia ngoma kama hii, ubora wa hii ngoma nisawa na ile ya ALIKUFA KWA NGOMA, ya FA na ile ya STAREHE ya FEROUZ, ifike wakat tuachane na ngoma nitongoze kama unanitaka maana zinawaharibu vijana, ila daaah kontawa pambana sana mwakani nakuona unapiga kolabo na JAY Z.

ramadhankhamis