Ukiona dalili hizi basi una upungufu wa vitamin D!! Fanya hivi haraka sana

preview_player
Показать описание
Vitamin D ni moja ya aina ya vitamini muhimu zaidi mwilini, kazi yake kubwa ni kusaidia ufyonzwaji wa madini joto ya Calcium na Phosphorus. Madini haya husaidia kutengenezwa kwa meno na mifupa.

Licha ya kuwa vitamin hii inapatikana kwenye vyakula kama mayai na samaki lakini ngozi yako kwa msaada wa jua inabaki kuwa ndio chanzo kikuu cha vitamin D.

Madhara makubwa ya ukosefu wa vitamin hii ni mifupa kuwa dhaifu, maumivu ya viungo, meno kuharibika na mtoto kupata matege.
Рекомендации по теме