Rose Muhando kwa mara ya kwanza tangia Bishop Dr Gertrude Rwakatare afariki alia madhabahuni

preview_player
Показать описание
Rose Muhando kwa mara ya kwanza tangia Bishop Dr Gertrude Rwakatare afariki alia madhabahuni kwa wimbo wake siku ya Jumapili 31.05.2020 kweyenibada ya kumshukuru Mungu iliyoambatana na hitimisho la siku 40 za maombolezo katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ubarikiwe mama Rose Muhando Kwa nyimbo zako zinamafundisho mazuli sana

charlescharles
Автор

Rose napenda nyimbo zako zote zina ujumbe wa kujenga❤❤

CharlesOketi
Автор

2024 wanaoendelea kusikiliza wimbo huu kama mm gonga like hapa

AbellyMwambwiga-oc
Автор

You're blessed mama ROSE,
This is so special,
More days to you mama ROSE

joekumacha
Автор

It was hurt I have really cried by seeing this song and the way mama rose have cried it has hart me too I love you mama rose I hope one day nitakutama na ww na Huwa naomba sana Kila siku nikutane na ww ❤️❤️❤️

AbuCyber-dzme
Автор

Rose mungu akubariki sana sana kwa nyimbo nxuri

DennisArisi-sw
Автор

Mimi nimesoma ekima kwa nyimbo iyi barikiwa maman

JulesSENDWE
Автор

I want yo meet Rose muhando! She is anointed by Almighty. I am in bruxelles I really love muhando from 2002 in kibondo.
She is a flying eagle!

Bihomebuja
Автор

Rose wewe ni baraka Kwa mataifa ishi ukitangaza matendo makuu ya mungu .Natamani sana kukutana nawe siku Moja na najua maisha yangu hayatabaki vile Tena ubarikiwe sana malkia Rose

MercyMwanza-ryxe
Автор

The song the video the voice I tell you I cry every time I listen to the song Rose please I want the video it reminds my mum...yes mum you're the only person who used to understand us we loved you mama we pray for you

titusmshanga
Автор

I love her music even though I don't understand Swahili.sometimes I feel like crying when listening to her music.keep the fire burning my dearest sister.from Zimbabwe

tendaikatsidzira
Автор

Ubarikiwe sana Kwa wimbo huu rose.kanisa lifarijike

DavidSitienei-or
Автор

Mother Rose God bless you Mungu atakushindia

EzekielLemayan
Автор

I love your songs rose, may God give you long life

JudyGesare-of
Автор

Mungu akubalik my xixter pia mungu anakupenda xana kakuepuxh na majalibu meng 💓💓💓

berthamwakitalima
Автор

Rose mhado mungu akupe baraka kwa wengine.yimbio nzuri sana👍🔥🔥🔥🔥🔥

CleanNgoda
Автор

Be blessed Rose Kenya tunakupenda sana

HappyHockey-jdgx
Автор

Que Deus abençoe muito a tua carreira musical ❤🎉

InocênciaMariaPedro
Автор

That song made me feel & cry bettely remembering my mum & my 3 brod left me in pain& my dad.
B blessed

BettyKibushKitheka
Автор

Uko Wapi Baba💔😭Lost My Dad When I was 9 Now I’m 29 but the pain feels like yesterday😭😭 20 years without you daddy💔💔💔
lots of love from 🇲🇼 Rose Muhando

JoanGondwe-gj